Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
We tamani tu kuwa Mkuu yakukute kama yule Mkuu wa KageraHizi ndoto sijui kama ni kweli lakini hivyo ndivyo nilivyoota leo. Lakini haiwezelani mimi
niwe Mkuu wa Mkoa kwa sababu sijui economics.
Hii ndoto inaniahidi mambo mazuri au nitapata vip treatment ya Iddi Amin?
Halafu sijui wapi naweza kukutana na mtu nimpe zawadi ili niwe Mkuu wa Mkoa.