Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!
ukilisema wew nadhani inatosha gentleman 🐒Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!
Kwanza jiulize au uliza hao wanaopenda AMANI (bila HAKI) ni akina nani hasa; na kwa nini wanakazia hiyo AMANI isiyoambatana na HAKI.Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!
Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!
Ingekuwa ujumbe wa tunza haki na amani ningeuelewa,ila huo wa amani isiwe ni chawa mmoja kaamua kuja nao tu!Pia amani ingetuzwa haki ya mfuga mbwa kuharibu amani ingetazawa.Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!