Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

😂😂😂😂😂

Kazi iendelee..
 
Mimi bado mkuu, nitajitahid niisikilize kabda ya mwaka huu haujaisha.
 
Tuache ushabiki pembeni, lakini Chinga ile nyimbo sijui kafanya haraka au vipi! He could do better than that.
 
Kweli kabisa sema timu yake haitaki kusikia haya.
 
Back
Top Bottom