I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
[emoji23]Ila hela zinaingia tutofauti na wewe hapa umeansidha thread unaambulia mipasho kutoka kwa wenye timu zao
Dah 😁😁Ila hela zinaingia tofauti na wewe hapa umeanzisha thread unaambulia mipasho kutoka kwa wenye timu zao
Utakuta hata yeye akiwa anaoga huwa anaimba hiyo nyimbo peke yake.Madada zako hoi huku mtaani.
Ngoja wafia genge la mmakonde tupite nae🤣🐒Ila hela zinaingia tofauti na wewe hapa umeanzisha thread unaambulia mipasho kutoka kwa wenye timu zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta hata yeye akiwa anaoga huwa anaimba hiyo nyimbo peke yake.
Ushauri: hurumia bando lako mkuu.Mimi bado mkuu, nitajitahid niisikilize kabda ya mwaka huu haujaisha
Kweli kabisa sema timu yake haitaki kusikia haya.Tuache ushabiki pembeni, lakini Chinga ile nyimbo sijui kafanya haraka au vipi! He could do better than that.
Mimi bado mkuu, nitajitahid niisikilize kabda ya mwaka huu haujaisha