Leo nimepewa ua jeusi πŸ’ πŸ’” siku ya Valentine

Zee la Mandandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,064
Reaction score
2,603
Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine.

Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa mdogo wangu @Deepond japo mi naishi Rungwe yeye anaishi Mbeya Mjini. Mara nyingi nikienda Mbeya huwa natupiamo mbili tatu the narudi kwangu Rungwe.

Kuna kipindi niliuona una post status za kuwa na mtu tena anamuita Baba Kijacho so nikasema kwa kuwa mi najipigia tu acha awe na dogo kwani sina mpango wa kumuoa.

Mara nyingi huwa ana niblock mara nifungulia ni vurugu tupu ila mi nikikumbuka yale matako na jinsi alivyokuwa anaifinyia ndani, dah.

Sasa leo, nimetoka zangu shambani nimechoka nikasema nilale kidogo. Nilipoamla nikasema niandae mazingira ya kesho kwenda Mjini nikalichakate.

Hahaaaaa nikasema nimtumie SMS ya "Nakutakia Valentine njema tamu yangu"

Nikaona linapiga, sikupokea. Hahaaaa nimeambulia sms za matusi na kunikataa na kuniacha. Dah, ngoja nimeumia sana. Byeeeeeee Pendo wangu, nakumbuka jinsi unavyoifinyiaga kwa ndani. Ngoja nimfundishe Mama Manka tu namna ya kuifinyia kwa ndani.

Valentine imekuwa mbaya sana kwangu leo.

 
Pole mkuu. Mwaka wa kufosi huu so umeshindwa kabisa kumpangaπŸ˜‚
Haina shida. Ngoja leo ale valentine na jamaa yake. Kwa kuwa nimeuza Parachichi kwa Ndugu yangu David Nanine a.k.a dingi la mishe hapa Rungwe, Jumanne muamala utasoma kwake. Wikiend hii ngoja aendelee na jamaa yake ili Jumatano nikamchakate. Namjulia sina papara naye.
 
NakubaliπŸ˜‚ mwaka wa kufosi
 
Point yako ni nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…