Leo nimepiga Debut na nimerealize kuna vitu ni Unkwepeable

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
883
Reaction score
1,157
Eeeh bahna husika na kichwa Cha habari hapo juu, najua Kwa wapenzi wa Michezo au wale wanaotema Ung'eng'e najua wanaelewa kuhusu "DEBUT" , Sasa Mbwa Mimi Debut yangu si ya kiuanamichezo but fo ze fasti taimu muhuni nimechovya mdada wa kubuy (Take Away) pale Mkabala na Hospital ya Rufaaa Wilaya ya Kina Chege, Temba na Juma Nature.

Siku ya Leo ilikua poa sana (Mixer kupewa mualiko na rafiki yangu Kwa ajili ya Eid), mpaka pale Bi Mdashi wa hiyo nyumba tuliyopewa mualiko Kupata "HYPERTENSION" so ikawa "mkuku mkuku" mpaka Kwenye Maabara X akapatiwa matibabu na tukaagizwa tumpeleke hospital ya Rufaaa... Hapa ndo "Career" yangu ilipoanzia, Kidume nilivyofika tu pale Hospital na kuhakikisha "MAREHEMU WETU MTARAJIWA" kapewa kitanda chake , anko Shetty akaja kuninong'oneza "Broh si unasikiaga maeneo ya hapa Kunakuaga na utelezi wa Bei ya jioni, em nyoosha miguu kama "NDEMLA" au "JONJO SHELVEY" , pita pita ukasafishe macho... KOSA KUBWAAA!!!

Muhuni nikapita kwenye kichochoro Cha kwanza alooo Kuna manzi nikawa nimemuelewa , ila nikamkemea anko Shetty aniache na uvulana wangu, so nikapita mbele mpaka kichochoro Cha pili kule nikajionea mazingaombwe nikafika sehemu nikatulia kwanza, then nikarudi Tena Kichochoro Cha kwanza Kwa kweli baada ya kufika Kwa yule dada moyo uligoma kabisa kumpita😭...

Mazungumzo yetu

Me: Mambo Niaje
Yeye: Poa Handsome
Me: Kuchovya Bei gani (Huku natetemeka)

Yeye : Buku 5!!! (Alooo! Nisiwe muongo, manzi ni medium quality ni mzuri, msafi, ni wale mamanzi wenye tackle lisiloboa, chuchu zimesimama mno, rangi ya 🍫, ningefanyaje na ndo ugonjwa wangu....kadada ni karembo Ka sura kifupi asingekua dada fresh ningependa kua nae kama mke wangu)

Me: Sasa mbona nasikiaga hapa Kuchovya aftatu (Kiutani)

Yeye: Hamna! Hiyo Bei ya mwisho (Akitazama chini Kwa aibu, mda huo tunaongea hivyo tupo kwenye kimlango chake)

Me: Haya Chimama, Choma Ndani!! (bibie huyo mpaka ndani, tukajifungia zetu, while mchumba anaingia ndani Ngoma ya Jose Mtambo ikatawala kichwa changu 🎶"Aisee huko Nyuma kumkosa Roho Inaniuma, Inaniuma zaidi vile Dem anayumba🎶
🎶Nikainuka niende mpa tafu asianguke, Yuko "Don't Touch Me!! Sijaalewa🎶)
...........................................................................................

Nilivyoingia tu mle ndani uzuri wa yule dada, manukato mazuri yaliyo mle ndani haukunichanganya, Bali nyimbo ya zamani ya Ferooz ikawa inagonga automatically kichwani mwangu
🎶 Ubaya kwamba Condom sikuitambua , kwakujua kwamba Radha ya Mapenzi Itapunguua🎶
🎶Kumbe nilikua ninakosea njia, niliyoshauriwa Mimi nikapuuuzia🎶

Me : Una Condom!!

Yeye: Yeah baby, pesa kwanza (Hapa ndo nikashtuka, La Haula!! Kumbe sipo na demu wangu!?? Lakini sikuogopa kupoteza uvulana wangu kwake, coz ni mzuri nyie jamani mtaani sijaona💔😭)

Me: Take it, Keep Change na nachovya only one goal (nikampa note ya Buku 10 for sure nimempenda na nimemuonea huruma at the same time)

....,...........................................................................................
Balaa likaanza, Bila refa kupiga filimbi, Dhakar kaiweka juu ya kiuno, kwenye mstari wa matackle zake huku akikatika😭, aloo! Dhakar ikasimama kama Eiffel tower (Paris, France)..
Kilichonidatisha Kwa huyu dada kipindi anafanya hayo, nilipitisha mikono yangu kwenye mbavu zake Kwa lengo la kutaka kumchezea "Nido" nikiwa Nyuma yake tumesimama...So, nikamgusa kwenye mbavu zake , aloo! Sijui ni kuact ama ni kweli, ila kaliruka as if ni kadem ambacho kana genye kupita kiasi...

Yeye: Wanitekenya Baba angu (Sauti ile imepenya kwenye masikio yangu yasiyosikia vizuri😭)

Me: So tunazika au tunasafirisha!??
..................................................................................................
Nikaveshwa Ndomu, mchumba akaweka zake lubricant kidogo Kwa bibi ake and the rest is history...

Fo shua, nime-enjoy mda wote nipo garini namuwazia yeye tu japo najua haniwazi, Debut yangu ikawa imekamlika hivyo, hapa nawaza nitafute Hela nirudi Tena jamani 😂💔

Note: 1. Matendo yote japo nimeandika kiurefu na upana, lakini yalikua Kwa muda mfupi tu , sijatake a lot of time hapo, na nikarudi hosptooo bila Wanangu kushtukia mchongo 😀
2. Bi Mdashi Ako anaendelea poa tofauti na muda tuliompeleka so wengine tumerudi makwetu (Sote tunjia twetu tumoja, so hata Mimi ni MAREHEMU MTARAJIWA)
3.Manzi amekataa kunipa details zake, hakua ananijibu personal questions kama anaishi wapi, contacts zake so nimemkatia tamaa, and it seems like ana familia (ni mke wa mtu , au ni Mgeni kwenye hiyo zaga, au anafanya Kwa muda tu).....

TUTAKUWEPO!!
 
Wavivu wa kusoma twende pamoja:

1. Debut ya Muhuni – Mwandishi anasimulia uzoefu wake wa mara ya kwanza kuwa na mwanamke wa kulipia.

2. Safari ya Hospitali – Alifika hospitali akimpeleka mgonjwa, ambapo rafiki yake alimtia moyo kufanya "uchunguzi wa mazingira".

3. Kukutana na Mwanamke – Alitembea mitaa ya karibu na hospitali na kumwona dada aliyemvutia.

4. Mazungumzo na Makubaliano – Alimwuliza gharama, na baada ya mzaha kidogo, walikubaliana kwa Tsh 5,000.

5. Hali ya Mvuto – Alivutiwa sana na mwonekano na usafi wa dada huyo, akampenda zaidi ya mahitaji yake ya awali.

6. Taratibu za Kuanza – Alijiandaa kwa tendo huku akiwa na wasiwasi, lakini alihakikisha kinga ipo.

7. Muda wa Tendo – Mwanamke alionyesha ujuzi wake, na mwandishi akapitia hisia kali za mara ya kwanza.

8. Hisia za Baada – Alifurahia uzoefu, lakini akatambua kuwa dada huyo hakutaka kutoa taarifa zake binafsi.

9. Uwezekano wa Kuwa na Familia – Mwandishi alihisi kwamba dada huyo ana maisha binafsi yasiyohusiana na kazi hiyo.

10. Mwisho wa Safari – Alirudi hospitali kwa usiri mkubwa, akibaki na kumbukumbu za tukio lake la kwanza.
 
Hahahaha namba huwa wanatoaga unamdanganya ili kila nikija nikutafute. Usipende kuwauliza wanapoishi na ishu nyingine binafsi. Ukishamzoea atakuelezea historia yake yote bila kuficha kitu hata kama ana ngoma atakuambia.

Hongera kwa kununua mala..yer hakikisha unameza azuma asubuh kabla haijaanza kuwasha
 
Apia
 
Wavivu wa kusoma twende pamoja:

1. Debut ya Muhuni – Mwandishi anasimulia uzoefu wake wa mara ya kwanza kuwa na mwanamke wa kulipia.

2. Safari ya Hospitali – Alifika hospitali akimpeleka mgonjwa, ambapo rafiki yake alimtia moyo kufanya "uchunguzi wa mazingira".

3. Kukutana na Mwanamke – Alitembea mitaa ya karibu na hospitali na kumwona dada aliyemvutia.

4. Mazungumzo na Makubaliano – Alimwuliza gharama, na baada ya mzaha kidogo, walikubaliana kwa Tsh 5,000.

5. Hali ya Mvuto – Alivutiwa sana na mwonekano na usafi wa dada huyo, akampenda zaidi ya mahitaji yake ya awali.

6. Taratibu za Kuanza – Alijiandaa kwa tendo huku akiwa na wasiwasi, lakini alihakikisha kinga ipo.

7. Muda wa Tendo – Mwanamke alionyesha ujuzi wake, na mwandishi akapitia hisia kali za mara ya kwanza.

8. Hisia za Baada – Alifurahia uzoefu, lakini akatambua kuwa dada huyo hakutaka kutoa taarifa zake binafsi.

9. Uwezekano wa Kuwa na Familia – Mwandishi alihisi kwamba dada huyo ana maisha binafsi yasiyohusiana na kazi hiyo.

10. Mwisho wa Safari – Alirudi hospitali kwa usiri mkubwa, akibaki na kumbukumbu za tukio lake la kwanza.
Usinene ukamala😂
 
"Ujana una mengi, na mengi nimefanya "

Nawe utamaliza tu, kuwa makini uvuke salama.
 
Hao ndo wale ukiingia ndani kuna karai la maji chini ya kitanda ukimaliza mzingo anatoa kitambaa anakiroweka kwenye hilo karai anakufuta....
Na analitumia hilo karai na maji hayohayo kwa wateja wake wote...
Sawa na kundi la watu 10 kunawa maji ya kwenye bakuli moja mnapokezana, wa mwisho ananawa matope....

Starehe huwa haiwazi kesho itakuwaje.
Starehe ni hormone inakuja na kuondoka/kuisha.

Raha jipe mwenyewe.
 
Kwa maandishi haya, leo nimehisi ambavyo hujalifurahia tendo la jamaa!!
 
Wavivu wa kusoma twende pamoja:

1. Debut ya Muhuni – Mwandishi anasimulia uzoefu wake wa mara ya kwanza kuwa na mwanamke wa kulipia.

2. Safari ya Hospitali – Alifika hospitali akimpeleka mgonjwa, ambapo rafiki yake alimtia moyo kufanya "uchunguzi wa mazingira".

3. Kukutana na Mwanamke – Alitembea mitaa ya karibu na hospitali na kumwona dada aliyemvutia.

4. Mazungumzo na Makubaliano – Alimwuliza gharama, na baada ya mzaha kidogo, walikubaliana kwa Tsh 5,000.

5. Hali ya Mvuto – Alivutiwa sana na mwonekano na usafi wa dada huyo, akampenda zaidi ya mahitaji yake ya awali.

6. Taratibu za Kuanza – Alijiandaa kwa tendo huku akiwa na wasiwasi, lakini alihakikisha kinga ipo.

7. Muda wa Tendo – Mwanamke alionyesha ujuzi wake, na mwandishi akapitia hisia kali za mara ya kwanza.

8. Hisia za Baada – Alifurahia uzoefu, lakini akatambua kuwa dada huyo hakutaka kutoa taarifa zake binafsi.

9. Uwezekano wa Kuwa na Familia – Mwandishi alihisi kwamba dada huyo ana maisha binafsi yasiyohusiana na kazi hiyo.

10. Mwisho wa Safari – Alirudi hospitali kwa usiri mkubwa, akibaki na kumbukumbu za tukio lake la kwanza.
Bora umeturahisishia sisi wengine ni wale wa TL; DR

T
oo Long; Didn't Read
 
Waislamu mmefunguliwa kutoka kwenye mfungo wenu hvy mpo moto 🔥
 
Hao ndo wale ukiingia ndani kuna karai la maji chini ya kitanda ukimaliza mzingo anatoa kitambaa anakiroweka kwenye hilo karai anakufuta....
Na analitumia hilo karai na maji hayohayo kwa wateja wake wote...
Sawa na kundi la watu 10 kunawa maji ya kwenye bakuli moja mnapokezana, wa mwisho ananawa matope....

Starehe huwa haiwazi kesho itakuwaje.
Starehe ni hormone inakuja na kuondoka/kuisha

Hao ndo wale ukiingia ndani kuna karai la maji chini ya kitanda ukimaliza mzingo anatoa kitambaa anakiroweka kwenye hilo karai anakufuta....
Na analitumia hilo karai na maji hayohayo kwa wateja wake wote...
Sawa na kundi la watu 10 kunawa maji ya kwenye bakuli moja mnapokezana, wa mwisho ananawa matope....

Starehe huwa haiwazi kesho itakuwaje.
Starehe ni hormone inakuja na kuondoka/kuisha.

Raha jipe mwenyewe.
Mmh labda nyinyi wa zamani ndo mlikua mnatumia mbinu hiyo, asaiv wanatufuta kivingine😀
 
Back
Top Bottom