Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Mimi sio muumini wa punyeto ila toka nimemtimua shemeji yenu wikiendi iliyopita kwasababu kadha wa kadha.
Leo jumatatu saa tatu za usiku huu baada ya kurudi job nikavutwa na hisia kali za kufanya mapenzi nikajikuta napiga punyeto sasa naona muda unavyozidi kwenda najiskia fatigue (mwili kuchoka) na mapigo ya moyo kwenda mbio.
Watalaamu naomba mniambie shida hii inisababishwa na nini na naweza kutumia njia gani kutuliza hali hii nimejikoroga aiseee