Baada ya picha umeyafahamu??Bila picha haya mambo wengine hatuyafahamu
Hii picha ya kudaunlodi au??
Yeah..Unataka picha ya biryan ?
Nipe dondoo muke ya babu..Biryan
Ok..Tunaandaaje sasa??Sasa si inspiration wali wa kawaida na unachanganya kabla haujaiva vizuri hivyo unaiva pamoja na biryan
Ok..Tunaandaaje sasa??
Chemsha nyama na vitunguu swaumu na tangawizi chumvi na limao.Ok..Tunaandaaje sasa??
Mboba haufanani na ule wa picha ya awali, wako hauvutii hata kidogoBiryan