Leo nimepika beef biryan

Leo nimepika beef biryan

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ni tamu ninesharudia second serving

1108780
 
Hivi mbona hili neno biriani nalisikia sana mwezi huu wa Ramadhani?

Hivi vyakula vyenye majina ya watu ni vya aina gani?
Mara Mariamu biriani, mara sijui nini
 
Ok..Tunaandaaje sasa??
Chemsha nyama na vitunguu swaumu na tangawizi chumvi na limao.

Ikiwa tayari weka pembeni.

Kata vitunguu viwili vikubwa vikaange mpaka viwe brown. Weka nyanya, garlic, ginger, tumeric, paprika, cinamon, cardamons pilipili
Ukipata chanya nyanya acha vichemke weka na yoghurt natural.
Changanya wali ambao ni half way cooked, punguzs moto
 
Back
Top Bottom