Leo nimepika beef biryan

Leo nimepika beef biryan

Chemsha nyama na vitunguu swaumu na tangawizi chumvi na limao.

Ikiwa tayari weka pembeni.

Kata vitunguu viwili vikubwa vikaange mpaka viwe brown. Weka nyanya, garlic, ginger, tumeric, paprika, cinamon, cardamons pilipili
Ukipata chanya nyanya acha vichemke weka na yoghurt natural.
Changanya wali ambao ni half way cooked, punguzs moto
Hapo kwenye viungo sasa..Mbona kama hujamaliza..Nyama bado hatujaweka..
 
Chemsha nyama na vitunguu swaumu na tangawizi chumvi na limao.

Ikiwa tayari weka pembeni.

Kata vitunguu viwili vikubwa vikaange mpaka viwe brown. Weka nyanya, garlic, ginger, tumeric, paprika, cinamon, cardamons pilipili
Ukipata chanya nyanya acha vichemke weka na yoghurt natural.
Changanya wali ambao ni half way cooked, punguzs moto
Nyama ubaweka kabla ya maji na kama ina supu huweki tena maji
 
Back
Top Bottom