Leo nimepima HIV kwa hiyari

Mwanaume akivaa condom mwanamke hawezi kupata hiv labda ipasuke, lakini mwanaume akivaa condom akasex na mwenye hiv hakuna garantii kwamba atatoka salama. Shida ipo kwenye kuvua na kuvaa condom ingine
Ndo maana mnashauriwa kila bao ukaoge au ukanawe[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembea uyaone mkuu[emoji4],
Ujue mahaba ni mazuri mno ukimpata mtu sahii na awe anayajulia[emoji4]

Kupeana mahaba ki-oldschool kila Mara ndo maana mnawahi kuchokana HARAKA[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa Mahaba sio chumvi mzee baba kma kutembea nimetembea mpk viatu vimeisha...
😎😎
 
Mwanaume akivaa condom mwanamke hawezi kupata hiv labda ipasuke, lakini mwanaume akivaa condom akasex na mwenye hiv hakuna garantii kwamba atatoka salama. Shida ipo kwenye kuvua na kuvaa condom ingine
Na watu kama DeepPond wanaobugia ma K bila kujui zipo mwezini au zina michubuko ya michepuko mingine
 
Aisee balaa sanaa Ngoma ipo eehee..[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Utulie sasa,hiyo ni ya kwanza umebahatisha,au unataka ubahatishe tena...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…