Leo nimepima HIV kwa hiyari

Leo nimepima HIV kwa hiyari

MWAMBIE mkeo awe anajiswafi na kupanakshi vizur uko chini,

Icho kinyaa ulichonancho Ni dalili ya kwamba uyo mkeo uko chini hapavutii.

Wenzio Hadi mtori tunanywea pale[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Oa kwanza ndio umwambie mkeo hayo uone kama maisha yataenda, labda kama ndoa yako umeichoka mzeee baba.
😂😂😂😂
Lile tundu limewekwa kwa maana yake mfano jicho la tatu ni kwaajili ya Haja kubwa. Sasa ww mtori unanywea kwenye mbususu DUH. Kuni za jahanamm ni nyingi mnoooo 😁😁😁
 
PITC- Provider Initiated Testing and Counselling.

CIVTC- Client Initiated Voluntary Testing and Counselling.

Hizi Huduma hupatikana CTC- Care and Treatment Clinic.
 
Ila wanaume nyie kuchubuka ni nadra sana. Ndio maana aliye na chance kubwa ya kupata HIV ni mwanamke kuliko mwanaume.
Mwanaume akivaa condom mwanamke hawezi kupata hiv labda ipasuke, lakini mwanaume akivaa condom akasex na mwenye hiv hakuna garantii kwamba atatoka salama. Shida ipo kwenye kuvua na kuvaa condom ingine
 
Hiyo picha imenikumbusha dp za wale wajasiriamali
 
Hauna haja ya kusubiri miezi mitatu kama unajijua miezi mitatu ya nyuma iliyopita haukujipitisha kwenye njia mbovu mbovu. Mimi nina uhakika hata baada ya miezi mitatu au sita hata mwaka majibu hayawezi kubadilika.
Kwa nini una uhakika miezi yote hiyo utakuwa salama? Kwani haiwezi kupasuka ukapata kama ulivyosema hapo juu?
 
Hauna haja ya kusubiri miezi mitatu kama unajijua miezi mitatu ya nyuma iliyopita haukujipitisha kwenye njia mbovu mbovu. Mimi nina uhakika hata baada ya miezi mitatu au sita hata mwaka majibu hayawezi kubadilika.
Yaani masaa mawili yote unapewa ushauri nasaha!!una bahati sana, siku hizi vituo vingi hawana muda huo, ukifika utaulizwa tu mala ya mwisho ulipima lini?kaa pale, vifaa vinaletwa tayari unasubilia matokeo yako!!
 
Oa kwanza ndio umwambie mkeo hayo uone kama maisha yataenda, labda kama ndoa yako umeichoka mzeee baba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lile tundu limewekwa kwa maana yake mfano jicho la tatu ni kwaajili ya Haja kubwa. Sasa ww mtori unanywea kwenye mbususu DUH. Kuni za jahanamm ni nyingi mnoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nmeoa Zaid ya miaka 20 ilopita,
Ndo maana kila Mara mnakumbushwa muishi nao kwa akili[emoji4]

Kuishi kwa akili ni pamoja na za kuambiwa, Unapaswa uchanganye na za kwako.

Yaan utafte Njia nzur ya kumwambia na kamaliza Hilo tatizo bila kusababisha mgogoro wowote.

Hizi ndoa zenu za sikuhz mnabebana bebana tu hata jando hamuendi ndo madhara yake haya Sasa. Mnatupa tabu kuwafunda ndoani[emoji4]

mnatafuta kujenga ,kumbe ndo mnabomoa zaidi.[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom