Leo nimepima HIV kwa hiyari

Leo nimepima HIV kwa hiyari

Ni kweli lakini nyama za ndani za uke ni laini sana kuchubuka ni rahisi pia. Labda awe na kibamia.
Wanawake ni rahisi Sana kupata ukimwi,

Mwanaume ukiwa na kibamia Raha Sana, hata ukiloweka fresh tu hupati ukimwi.

Anko zuma kuna speech moja alkua anasema,
"Wanaume wenye vibamia hawana haja ya kuvaa kondom.
Maana Kwanza wengi haziwatoshi, pili sio rahisi wao kupata ukimwi.
Wakimaliza kusex wakanawe TU pale chini kisha waondoke zao[emoji4].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sie tuliojaliwa af marathonic michubuko haikwepeki nashukuru Mungu kwa utashi alionipa wa kuchagua vya kugegeda na huwa ananitangulia siku zote😅 maana isingekuwa yeye sijui ningekuwa wapi!
Ila wanaume nyie kuchubuka ni nadra sana. Ndio maana aliye na chance kubwa ya kupata HIV ni mwanamke kuliko mwanaume.
 
Wanawake ni rahisi Sana kupata ukimwi,

Mwanaume ukiwa na kibamia Raha Sana, hata ukiloweka fresh tu hupati ukimwi.

Anko zuma kuna speech moja alkua anasema,
"Wanaume wenye vibamia hawana haja ya kuvaa kondom.
Maana Kwanza wengi haziwatoshi, pili sio rahisi wao kupata ukimwi.
Wakimaliza kusex wakanawe TU pale chini kisha waondoke zao[emoji4].

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli , sisi wanawake ndio tuna chance kubwa sana ya Kupata HIV kwa kila tendo.
 
Ndio zinazo, kwahiyo mwanamke akichubuka hata kama mwanaume hana michubuko lakini akimwaga shahawa kwa mwanamke hizo shahawa zikikutana na open wound tayari
Dah! Wanawake mko ktk mazingira hatarish sana kuambukizwa[emoji848].

Aisee wanaume tujilinde Sana hawa wenza wetu wasichepuke, muhuni akimwagia TU ndani kimeumana[emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Wanawake mko ktk mazingira hatarish sana kuambukizwa[emoji848].

Aisee wanaume tujilinde Sana hawa wenza wetu wasichepuke, muhuni akimwagia TU ndani kimeumana[emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna zile ambazo zinatokaga kwa mwanaume kama ute nazo zinabeba virusi. Kwa kitupi maji maji yote ya sehemu ya siri yana beba virusi kama mtu ni mwathirika
 
Back
Top Bottom