Leo nimepima HIV kwa hiyari

Leo nimepima HIV kwa hiyari

Kwema?
Leo nimeamkia PITC nikasema liwalo na liwe acha niijue afya yangu.
Sijawahi kupima HIV na niliapa sitopima labda niwe mjamzito. Ila kuna wakati viapo vinatenguliwa unakuwa na nafasi mbili, ujue afya yako au stress zikupige hadi ufe. Mimi nilichagua kuijua afya yangu.

Nimepewa elimu kabla ya vipimo, nikiri wazi kwamba kwa elimu niliyopewa na wale wataalam, hata ningekuwa nimeathirika nisingesononeka. Wanakupa elimu hadi unaona HIV kumbe sio kitu. Kisha wanakuuliza upo tayari? Hapo hiyo elimu nimepewa kwa masaa kama mawili. Niliwauliza hadi taratibu za kuchukua dawa kama nikikutwa nao na ni wapi naweza chukua dawa😂😂nje nje huko nisipojulikana, side effect pia za dawa nk.

Ushauri, usipime HIV bila kupata ushauri na elimu nzuri. Acheni tabia ya kubebana na kutoboana toboana lodge huko. Rafiki yangu juzi alikunywa sumu kwa sababu alitoboana na mpenzi wake bila kupata ushauri wala elimu. Vikasoma viwili akarudi home akanywa sumu ila bahati nzuri aliwahiwa. Huyu ndio alinifanya wazo la kuijua afya yangu linijie kwa nguvu.

Nipongezeni basi kwa ujasiri😂😂

View attachment 2105219
Weka picha yako na namba ya simu
 
HIV nadhan ni ngumu kupata pia mpaka mchubuane sijui utakuwa unatafuta nini
Fanya kidogo tu
Hazikipanda vizur Wewe, zikipanda linapigwa gwaride masaa 4 non-stop afu ujui MDA umeendaje[emoji4]

Ukija kustuka mkojo unakubana, unakojoa mkojo unachoma choma, unajua tayar nishachubuka

Hapo ndo unakumbuka kua majuto siku zote Ni mjukuu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sie tuliojaliwa af marathonic michubuko haikwepeki nashukuru Mungu kwa utashi alionipa wa kuchagua vya kugegeda na huwa ananitangulia siku zote😅 maana isingekuwa yeye sijui ningekuwa wapi!
 
Hazikipanda vizur Wewe, zikipanda linapigwa gwaride masaa 4 non-stop afu ujui MDA umeendaje[emoji4]

Ukija kustuka mkojo unakubana, unakojoa mkojo unachoma choma, unajua tayar nishachubuka

Hapo ndo unakumbuka kua majuto siku zote Ni mjukuu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya mkojo. Ukichubuka halafu mwanaume akikumwagia zinachoma choma hapo ndio utajua haujui. Na vile shahawa nazo huwa zinabeba virusi ni hatari.
 
Kwema?
Leo nimeamkia PITC nikasema liwalo na liwe acha niijue afya yangu.
Sijawahi kupima HIV na niliapa sitopima labda niwe mjamzito. Ila kuna wakati viapo vinatenguliwa unakuwa na nafasi mbili, ujue afya yako au stress zikupige hadi ufe. Mimi nilichagua kuijua afya yangu.

Nimepewa elimu kabla ya vipimo, nikiri wazi kwamba kwa elimu niliyopewa na wale wataalam, hata ningekuwa nimeathirika nisingesononeka. Wanakupa elimu hadi unaona HIV kumbe sio kitu. Kisha wanakuuliza upo tayari? Hapo hiyo elimu nimepewa kwa masaa kama mawili. Niliwauliza hadi taratibu za kuchukua dawa kama nikikutwa nao na ni wapi naweza chukua dawa😂😂nje nje huko nisipojulikana, side effect pia za dawa nk.

Ushauri, usipime HIV bila kupata ushauri na elimu nzuri. Acheni tabia ya kubebana na kutoboana toboana lodge huko. Rafiki yangu juzi alikunywa sumu kwa sababu alitoboana na mpenzi wake bila kupata ushauri wala elimu. Vikasoma viwili akarudi home akanywa sumu ila bahati nzuri aliwahiwa. Huyu ndio alinifanya wazo la kuijua afya yangu linijie kwa nguvu.

Nipongezeni basi kwa ujasiri😂😂

View attachment 2105219
Ukiona mtu anaogopa kupima ujuwe keshapita na baadhi au njia zote za kuambukizana ukimwi
 
Back
Top Bottom