Hapana mkuu sijawahi kijifananisha huyu jamaa licha ya kuwa bodaboda mm ni mteja wake mkubwa gengeni kwake tunapiga stori mbili tatu kila siku lakini leo kanibadilikia sana na yuko serious.Si kwamba wewe ndo unajifananisha nao? Kama Kuna bodaboda kweli atakua alipotea njia tu

Kwani unaogopa Afsa??Hii kitu imenishangaza sana leo nina miaka miwili mahali ninapoishi.
Mara nyingi ninapotoka kwenda kwenye mihangaiko yangu napenda kuvaa kiofisi kila siku. Ajabu leo wakati natoka nyumbani kuna bodaboda amenikazia sana kuwa mimi ni usalama kila nikimbishia hakukubali kabisa ilibidi nikubali yaishe.
Hili jambo limenistaajabisha sana maana hadi ameamua kuniambia ina maana ni jambo wanaloliongelea sana.
Wakuu hivi hili jambo haliwezi kuwa na hatari kwenye usalama wangu?