Leo Nimeshuhudia LIVE Demu Akimpiga Mtu Mizinga

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Nilijibanza mahala leo nikiwa nakimbia mvua. Ghafla
nikasikia mdada akiomba vitu kadhaa nikajua
atakuwa anasali anamuomba Mungu.
Cha ajabu
hatimae nikasikia "Ok baby mwah I love you.
Navisubiri".
Kumbe alikuwa akiongea na buzi. Maana
ilikuwa kali, naomba school fees za mdogo wangu, nisaidie nipate gari kama la Wema, naomba unipe
mtaji, nataka kwenda China, nisaidie na
matibabu ya shangazi anatakiwa
kwenda India.
 
STUNTER:KUONA HILI TABASAM KUWA KAMA UNAFUNGA MACHO KAMA UNAIBIA KUONA PICHA.

swissme
 
Ivi kipindi cha hiki chasha bado kuna mizinga mizito ivyo
 
Hivi mbona ukirusha makombora ya nyuklia kama haya jje's huwa anaingia mitini?[emoji1]
 
Mungu anakuona mkuu,
Yaani kila cku wtt wa kike tu,kwani wanaume huwaoni?

Kweli Mungu anakuona
 
Jamani mnataka mpewe bure?

Msilalamike sana.

Kwani ile ya Dada yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…