Leo nimesoma kitabu cha plato nimeogopa sana!,kumbe mengi ni marudio ya kale!

Kwa hiki kiingereza Kilichonyoooka kama Rula ma CHADEMA hayawezi kuelewa na kwakuwa hayawezi kuelewa yatakuja kutukana Matusi utafikiri vichaa au wendawazimu maana mengi ni Mambumbumbu
 
Hii inamuakisi vizuri trump
Na hatuko mbali na vita ya 3 ya dunia, sababu akili za binadamu kwa ujumla zimekuwa athiriwa na ujinga wa teknolojia mpya.

Hivyo shughuli nyingi alikuwa binadamu anafanya mwenyewe kwa sasa zinafanywa kwa kutumia teknolojia huku zikiongozwa na kikundi kidogo wanaoitwa 1% wakiwandangaya 99% kuwa haya ni maendeleo huku hayawaisaidii asilimia kubwa ya binadamu.

Na hii imeongeza umasikini katika maisha ya binadamu hasa katika nchi zilizoendelea hivyo kuwa na aina ya binadamu wenye hasira na makasiriko kila saa kuliko athiriwa na ndoto ya utopia ya maisha ya kisasa huku hawaoni faida za moja kwa moja katika maisha yao.

Hapo ndipo unapota kundi kubwa la wajinga utakaoweza kuwashawishi, na hii imeonekana US kwa raisi kuwekwa na vigogo wakubwa wanaomiliki teknolojia za kisasa na kuwa na uwezo wa kumtumia kukubali matwakwa yao.
 
Mkuu nimejaribu sana kutafuta hicho kitabu nimekikosa unaweza kuwa na soft copy yake original
 
Una mimba?
 
Kwa hiki kiingereza Kilichonyoooka kama Rula ma CHADEMA hayawezi kuelewa na kwakuwa hayawezi kuelewa yatakuja kutukana Matusi utafikiri vichaa au wendawazimu maana mengi ni Mambumbumbu
Bingirita kimba wawili wanasapotian katika kuyabingirita🤣🤣
 
Infact,watu wengi wanaweza kuuona kama hii quote,inahusu jamii au chama fulani kumbe siyo,hii maana yake ni "kiongozi yeyote aingiaye madarakani duniani kote,kwanza huondosha jamii fulani na ndipo hupanga timu yake ya kufanya kazi ambayo itamtii""
Pia semi nyingi za wanafilosopia huwa zinajicontradict kwa kwa semi za wanafilosofia wengine.
 
Yes,
wanafalsa hufanya jambo moja kubwa, zuri na muhimu sana ambalo wataalamu wa leo hukwepa kulifanya au hawalifanyi kabisa, na badala yake hunyoosheana vidole na kumaliza mjadala kwa kutukanana au kuporomosheana matusi tu,

wanasahau kwamba,
wabobevu wa mambo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi hufanya CONSTRUCTIVE and DECONSTRUCTIVE CRITICISMS bila mihemko wala makasiriko ili kusisimua fikra za actors wa jambo husika, kujitathimini upya, kujisahihisha, kujirekebisha na kuijimarisha kwa kujiepusha na blunders ambozo daima zina gharama au maumivu katika kuziishi, mathalani kususia uchaguzi n.k🐒
 
Huu ujumbe hapo huoni kama unamuongelea mwenyekiti wako!!??
CCM mu wanafiki kuliko hata ibilisi shetani.
Unagusa serekali za kidunia karibu zote hata nchi zenye katiba madhubuti kila kiongozi hupanga timu yake!...
 
Hapa unatafuta ugomvi na viongozi wa Tz.
Take it in general ,mifano ilitolewa kwa ulimwengu wote na si kwa nchi fulani,huyu mgiriki ni miongoni mwa wanafalsafa wakubwa ulimwenguni hivyo formula yake ni kwa dunia nzima.
 
🤣🤣🤣
Ila we jamaa haya manyumbu unajua kuyakomesha nawe, si mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…