Leo nimesoma kitabu cha plato nimeogopa sana!,kumbe mengi ni marudio ya kale!

Leo nimesoma kitabu cha plato nimeogopa sana!,kumbe mengi ni marudio ya kale!

Hii inamuakisi vizuri trump
Na hatuko mbali na vita ya 3 ya dunia, sababu akili za binadamu kwa ujumla zimekuwa athiriwa na ujinga wa teknolojia mpya.

Hivyo shughuli nyingi alikuwa binadamu anafanya mwenyewe kwa sasa zinafanywa kwa kutumia teknolojia huku zikiongozwa na kikundi kidogo wanaoitwa 1% wakiwandangaya 99% kuwa haya ni maendeleo huku hayawaisaidii asilimia kubwa ya binadamu.

Na hii imeongeza umasikini katika maisha ya binadamu hasa katika nchi zilizoendelea hivyo kuwa na aina ya binadamu wenye hasira na makasiriko kila saa kuliko athiriwa na ndoto ya utopia ya maisha ya kisasa huku hawaoni faida za moja kwa moja katika maisha yao.

Hapo ndipo unapota kundi kubwa la wajinga utakaoweza kuwashawishi, na hii imeonekana US kwa raisi kuwekwa na vigogo wakubwa wanaomiliki teknolojia za kisasa na kuwa na uwezo wa kumtumia kukubali matwakwa yao.
Somalia ni nchi masikini


Maendeleo ya Sayansi ndio yameifikisha hapo kwenye huo umasikini?
 
🤣🤣🤣
Ila we jamaa haya manyumbu unajua kuyakomesha nawe, si mchezo!
Ofcourse I'm among world heavy weight political wrestler and thus i have enough capacity and ability to disband groups of none politicians easily, softly and swiftly at once 🐒
 
Ofcourse I'm among world heavy weight political wrestler and thus i have enough capacity and ability to disband groups of none politicians easily, softly and swiftly at once 🐒
👏👏👏
Safi kabisa, minyumbu ni ya kuisambaratisha kabisa
 
Changanua baina ya wise na Intelegent... Mfano lissu siyo wise hayupo kwenye kundi la wisemen labda kwa mbali sana Barak Obama.
Wewe nawe tokea Obama akutongoze basi umu ndani Jamii forum ni kutulingishia tu.
Mbona mwaka huu tutakoma
 
Back
Top Bottom