Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

Pamoja na upuuzi wa mleta mada lakini nadhani ujumbe wake umelenga kwa wanawake wa siku hizi kukithiri tabia zisizofaa ndani ya ndoa ikiwemo kuwanyima unyumba waume zao
Ni kweli mkuu ww ndo umeelewa maana ya hii maada maana hili jambo limekidhili sana huku mtaani
 
Sasa mzee sista akisema kachoka,uumpe wewe inakuwaje hili suala😂🤣, jitahidi uhame mzee.

Chai safi kabisa hii kwa ajili ya kusogezea muda.
 
Nahisi huyu mwamba siku mkimuona live hamtaamini!
Yawezekana hafanani kabisa na hizi mada zake na unaweza kuta ni mtu independent na successful sema kwenye muda wa kupumzika ndiyo huwa anaandika upuuzi achangamshe genge [emoji1][emoji1][emoji1]
JamiiForums-466073014.jpg
 
Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka.

Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies.

Nimemfuata sister na kumuuliza kwa nini anafanya mambo ya kiwaki? Je akifukuzwa pale home itakuaje? Sisi wengine tutaenda ishi wapi? Mtu anataka haki yake ya ndoa. Si apewe tu namwambia hivyo eti ananijibu...

Daaah... Nlimfuata nimewaka hasira natetema hivi kama Mayele na kutaka mwasha mbata za ukweli au hata ngemgonga vichwa kadhaa kumtia akili sawa.

Shem alikuja sebuleni akakuta huo mgogoro. Ikabidi sister aondoke kwenda chumbani kwao. Maana ananijua mi sinaga masikhara toka akiwa mdogo nlikuwa namwasha mbata akileta ujuaji.

Yaani wanawake wa siku hizi sijui wamekumbwa na nini. Hawaheshimu kabisa ndoa zao na waume zao. Wabishi kama nini sijui. Nimewaacha huko room wanarekebisha nadhani. Nmebaki sebuleni nicheck check movies nikitafuta usingizi.

Nadhani shemu atakuwa sasa ameona umuhimu wangu hapa kwake. Na kesho hatosahau na kuondoka na remote. Binadamu tunategemeana sana. Hatujui tu.
Sasa si ungempa ww shem kumuomdolea mawazo maana mtafukuzwa wote mjue[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom