Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

Pamoja na upuuzi wa mleta mada lakini nadhani ujumbe wake umelenga kwa wanawake wa siku hizi kukithiri tabia zisizofaa ndani ya ndoa ikiwemo kuwanyima unyumba waume zao
Ni kweli mkuu ww ndo umeelewa maana ya hii maada maana hili jambo limekidhili sana huku mtaani
 
Sasa mzee sista akisema kachoka,uumpe wewe inakuwaje hili sualaπŸ˜‚πŸ€£, jitahidi uhame mzee.

Chai safi kabisa hii kwa ajili ya kusogezea muda.
 
Sasa si ungempa ww shem kumuomdolea mawazo maana mtafukuzwa wote mjue[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…