Leo Nimetembea kilometa 25 nimefikisia mwezi kwenye mazoezi.

Leo Nimetembea kilometa 25 nimefikisia mwezi kwenye mazoezi.

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Kila siku nilikuwa nakimbia 10km
Mpaka leo nimetimiza mwezi kwa kutembea km 25

Sasa mwezi ujao nataka kuhamia Gym

Ndugu msomaji una ushauri gani kwangu?? Karibuni
 

Attachments

  • IMG_20260620_163831.jpg
    IMG_20260620_163831.jpg
    27.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom