bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Bado nafikiria sana, ni Bora itangazwe Kama nchi inayojitegemea bila huo wa ofisi ya VPNi muhimu ; Tanganyika ikarudi kwenye nafasi yake ili kuwe na uwanja sawa kwa nchi mbili zilizoungana.... Vinginevyo ni usanii mtupu, unaofaidisha viongozi huku kubaguana kupitia watendaji, kukiendelea kimya kimya.
duhZanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar , waendelee kulinda nchi yao dhidi ya mamluki wa TanganyikaNilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda unguja,baada ya kufika bandari kivukoni,nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau....
Mbona inakuwa shida kueleweka mkuu, au?Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda unguja,baada ya kufika bandari kivukoni,nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau....
Bora wewe umempa jibu la kufikirisha.Kwani mtu akiwa na kadi ya CCM si anapita free?
Zanzibar ni nchi inayojitegemea mitambo tu..Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda unguja,baada ya kufika bandari kivukoni,nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau...
Mwanangu aliniuliza kuhusu muungano, akasema kama Kuna Zanzibar kwenye union je Tanganyika nayo IPO??Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Kuna nini cha maana unachokifuata Zanzibar, mbona kila kitu kipo hapa?Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda unguja,baada ya kufika bandari kivukoni,nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau...
Nida mkuu is everything now, Tena ni SmartcardSasa unatembeaje bila vitambulisho mkuu
Na ndiyo watawala wa Tanganyika kwa sasa.Na bado hao watu wa visiwani wanakuja huku tanganyika wanapewa madaraka
Kwa upupu huu ni haki kabisa machogo kuendelea kumezwa na Wazanzibari.Kuna nini cha maana unachokifuata Zanzibar, mbona kila kitu kipo hapa?