Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Pamoja na Kuwa na Rais wa Zanzibar, national anthem na bendera. Unahisi vinatambulika huko nje au ni kisiwa ndui/jambiani/mchamba wima na mwisho bandari ya salama?!
Nadhani mngeenda mbali zaidi muwe na sauti kuu huko nje ili Rais aanze safari za kimataifa kama Rais wa Zanzibar na embassies zijengwe hapo kibanda maiti kwa sasa nadhani kuna consulates kama ilivyo Burundi consulate in Kigoma
So far najua sarafu ya shilingi 500 ndio ina chapa ya marehemu Karume, mjitahidi pia kiwa na monetary system yenu muachane na hii ya “machogo”

Nimeona mna NBS yenu Zanzibar ila kiuhalisia tunapo-file documents zozote zinazohusu statistics za nchi tunatumia hiyo Bureau yenu au hii ya machogo?!
Hivyo vyote ulivyoorodhesha Tanganyika ndiyo haina kitu kabisa, yaani ni zero.
 
Zbar sio nchi .....ila ni nchi ndani ya nchi rudia tena
 
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Ama hakika ujinga ni mzigo. Unafikiri serikali iliamuwa kutufanyia ID za uraia ili tuziache nyumbani? Kile ni kitambulisho chako cha kuwa wewe kweli ni Mtanzania au la. Si lazima uwe unasafiri kwenda Zanzibar kuulizwa au kukibeba. Labda hujawahi kuwepo sehemu za Tanzania ambazo zina mjumuiko wa wageni wengi. Mfano mzuri Kariakoo, watu "randomly" husimamishwa njiani na kuulizwa ID.

Kama haitoshi, kwenda Zanzibar nijuavyo zamani (sifahamu kama mpango ule bado upo), wasio wa Tanzania wana rate yao ya nauli, Watanzania wamepunguzwa bei na hautakiwi ulipe kwa rate ya wageni. Sasa bila ID au passport utajulikanaje kama wewe ni mgeni au mwenyeji?

Kama ulikuwa huelewi kuwa Zanzibar ni nchi, jiulize kwanini tunaitwa Jamhuri ya "Muungano? aka "United Republic".
 
Sawa Bibi weye,

Lakini ndio maana wakatoa Option ya Namba ya NIDA Kama hauna ID hawakuwa wajinga hao
 
Mwinyi ni mkuu wa mkoa
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Hao wazanzibari ni walegevu sana. Kama Tanganyika haitaibebabeba hiki kisiwa ni wazi mwarabu atarudi hapo. Zanzubar na mwarabu utadhani uji na mgonjwa. Utadhani hawakuwahi kudhalilishwa na huyo mwarabu.

Wacha wajitape ila Tanganyika inajua imeshika wapi
 
Ni utaratibu tu maadam upo lazima ufuatwee, nenda ktk searching ya nchi Tafuta Zanzibar screenshot nakupa elfu 99999 cash,nchi lazima iwe na jeshi la kujitegemea,ushawahi sikia Rais Samia kafanya ziara nchini zanzibar ila utasikia kawasili Tanzania visiwani
 
Back
Top Bottom