Hivyo vyote ulivyoorodhesha Tanganyika ndiyo haina kitu kabisa, yaani ni zero.Pamoja na Kuwa na Rais wa Zanzibar, national anthem na bendera. Unahisi vinatambulika huko nje au ni kisiwa ndui/jambiani/mchamba wima na mwisho bandari ya salama?!
Nadhani mngeenda mbali zaidi muwe na sauti kuu huko nje ili Rais aanze safari za kimataifa kama Rais wa Zanzibar na embassies zijengwe hapo kibanda maiti kwa sasa nadhani kuna consulates kama ilivyo Burundi consulate in Kigoma
So far najua sarafu ya shilingi 500 ndio ina chapa ya marehemu Karume, mjitahidi pia kiwa na monetary system yenu muachane na hii ya “machogo”
Nimeona mna NBS yenu Zanzibar ila kiuhalisia tunapo-file documents zozote zinazohusu statistics za nchi tunatumia hiyo Bureau yenu au hii ya machogo?!
Huwa tunajifariji kuwa tunawatawala....Kwa upupu huu ni haki kabisa machogo kuendelea kumezwa na Wazanzibari.
Ama hakika ujinga ni mzigo. Unafikiri serikali iliamuwa kutufanyia ID za uraia ili tuziache nyumbani? Kile ni kitambulisho chako cha kuwa wewe kweli ni Mtanzania au la. Si lazima uwe unasafiri kwenda Zanzibar kuulizwa au kukibeba. Labda hujawahi kuwepo sehemu za Tanzania ambazo zina mjumuiko wa wageni wengi. Mfano mzuri Kariakoo, watu "randomly" husimamishwa njiani na kuulizwa ID.Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.
Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Sawa Bibi weye,Ama hakika ujinga ni mzigo. Unafikiri serikali iliamuwa kutufanyia ID za uraia ili tuziache nyumbani? Kile ni kitambulisho chako cha kuwa wewe kweli ni Mtanzania au la. Si lazima uwe unasafiri kwenda Zanzibar kuulizwa au kukibeba. Labda hujawahi kuwepo sehemu za Tanzania ambazo zina mjumuiko wa wageni wengi. Mfano mzuri Kariakoo, watu "randomly" husimamishwa njiani na kuulizwa ID.
Kama haitoshi, kwenda Zanzibar nijuavyo zamani (sifahamu kama mpango ule bado upo), wasio wa Tanzania wana rate yao ya nauli, Watanzania wamepunguzwa bei na hautakiwi ulipe kwa rate ya wageni. Sasa bila ID au passport utajulikanaje kama wewe ni mgeni au mwenyeji?
Kama ulikuwa huelewi kuwa Zanzibar ni nchi, jiulize kwanini tunaitwa Jamhuri ya "Muungano? aka "United Republic".
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Pia ni RaisMwinyi ni mkuu wa mkoa
Pia ni Rais
Hao wazanzibari ni walegevu sana. Kama Tanganyika haitaibebabeba hiki kisiwa ni wazi mwarabu atarudi hapo. Zanzubar na mwarabu utadhani uji na mgonjwa. Utadhani hawakuwahi kudhalilishwa na huyo mwarabu.Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Samaki bila Chambo humpatiKama ndo ivo nioneshe picha ya pesa, gwanda za jeshi lao,hati yao y kusafiria. Tuanzie hapo kwanza
Been to Zanzibar na nchi nyingi duniani....don't generalize when you don't know the truth. There's nothing in Zenj zaidi ya kutembea tu na kurudi jioni.Mawazo finyu hayo kumbuka,'Mtembea bure si sawa na mkaa bure huenda akaokota.'
Narudia, ni upuuzi tu kwenda ZanzibarKwa upupu huu ni haki kabisa machogo kuendelea kumezwa na Wazanzibari.
Wewe kwako ni ujinga kwa kuwa ulifika,Narudia, ni upuuzi tu kwenda Zanzibar
Tanganyika hata kwenye mkoa haipo[emoji24][emoji24][emoji24]Zenji ni mkoa kama mikoa mengine..tumewahifadhi tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app