Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Manina walahiZanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
ila nikikumbuka kauli ya mheshimiwa mmoja kuwa idadi ya wazenji ambao wapo bara kwa sasa kimakazi ni zaidi ya waliobaki huko ndio maana naona ni kwanini idadi yenu inaongezeka taratibu kumbe mnasogea huku, si hatuna hiyana karibuni sana, mje tujipatie wake wazuri ( nyie wazenji watamu nyie) nanyi muoe na kujenga.Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No. Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Kuna la kufanya hapaNdio unajua leo unadhani wale wanaosema Kuna kero za muungano walikuwa wanajilalamikia tu.
Kwa taarifa yako hiyo changamoto Ni Cha mtoto Kuna changamoto zingine siku ukikutana nazo utakuja kufungua Uzi zaidi ya huu
Na bado muda si mrefu utajua Chato ni mkoaNilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No. Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Painful TruthZanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Zanzibar ni nchi kamili.

Kwani katiba pendekezi ilikuwa ina semajeNi muhimu ; Tanganyika ikarudi kwenye nafasi yake ili kuwe na uwanja sawa kwa nchi mbili zilizoungana.... Vinginevyo ni usanii mtupu, unaofaidisha viongozi huku kubaguana kupitia watendaji, kukiendelea kimya kimya.
Kitu kizito😂😂Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Huu ni uozo wa ccm na vibaraka wake.Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Mawazo finyu hayo kumbuka,'Mtembea bure si sawa na mkaa bure huenda akaokota.'Kuna nini cha maana unachokifuata Zanzibar, mbona kila kitu kipo hapa?
Kichwa cha habari cha habari yako na maelezo mazima ya habari yako hayana mahusiano kabisa, isipokuwa hapa uliandika kwa emotions zako tu.Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No. Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Ndugu yetu ni ya kweli haya?? Tunaomba wajuzi wa mambo, tunaamini mpo humu, tujuzeni ukweli wa hili. Au maafisa walioko ktk entrance point hizo ndio hawajatambua tafsiri ya maelekezo/Sheria husika?Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.