bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
- Thread starter
-
- #41
Kaka nimeleta kilichonitokeaNdugu yetu ni ya kweli haya?? Tunaomba wajuzi wa mambo, tunaamini mpo humu, tujuzeni ukweli wa hili. Au maafisa walioko ktk entrance point hizo ndio hawajatambua tafsiri ya maelekezo/Sheria husika?
Fingerprint haina accuracy ya 100 percent,ILI KUEPUKANKADHIA YA KUTEMBEA NA FURUSHI LA VITAMBULISHO SERIKALI IFANYE YAFUATAYO
1. Kwa kuwa wote tumekwisha andikishwa basi badala ya kutembea na kadi ambazo zinapotea au kuchakaa basi tusajili fingerprint zetu ziwe ndio mbadala wa kadi
2. Kila sehemu ziwepo mashine ambazo nikiweka kidole changu basi inasoma na kutoa taarifa zangu zote kwenye screen
3. Dereva hatotembea tena na leseni bali akikamatwa na traffic ili kuthibitisha kuwa ana leseni basi vile vi poss machine vyao vinamtambua kupitia alama.za vidole
4. Ukienda bank badala ya kutumia.Kadi bass atm inakutambua kwa alama.za vidole
5. Na kila sehemu inayohitaji huduma.basi tungefanya hivyo tungeondoa kero kubwa ya usumbufu kama huu, kuibiwa kwa njia ya mtandao nk
My question is,Kichwa cha habari cha habari yako na maelezo mazima ya habari yako hayana mahusiano kabisa, isipokuwa hapa uliandika kwa emotions zako tu.
Nachojua mimi kati ya sababu ya kuitaji kitambulisho chako ni kuangalia jina lako limeandikwa vipi ili nae aandike kwa usahihi kama ilivyo kwenye ID CARD yako.
Kwanini aandike jina hadi aangalie kwenye ID card yako?, Kwa sababu kuna baadhi ya majina yanatamkwa sawa ila uandikwa tofauti, mathalani ya Michael, ,Mico, Maiko, Maico na majina mengine yenye mfano huo.
Lakini sababu nyingine ni pale getini, supervisors waliopo pale inatakiwa waangalie picha ya kitambulisho chako wakufananishe na wewe (mwenye kitambulisho) ili kuepuka mambo fulani fulani.
Okay,Fingerprint haina accuracy ya 100 percent,
Hiyo kweli ni shida ,ila ni moja ya kero za muungano,Okay,
Nimepata Barua kutoka Kisutu, ikia na Picha yangu wakinitambua. , Kwann Zanzbar entrance pale port wakatae na kusema hawaitambui?
Na inaonekana huyu Mama anataka Urais tenaMaoni yaliyotolewa na Watanzania wakati wa time ya Jaji Warioba ndio sauti ya Watan Zania. Ukweli utabaki kuwa ukweli hata Kama ukukataliwa na wengi.
Hujaiona nilichoandika,Soma upya urudi kucomment acha kurukia treni kwa mbeleBandarini wanahitaji kitambulisho chochote,acha kupotosha.
Inawezekana ikawa kweli wamemfanyia hivyo kwa sababu za msingi, maadui wanaweza kupitia bandarini au wanted pia anaweza pitia bandarini, ID card ina picha, getini upita kwa kuangaliwa picha iliopo kwenye ID card yako na kukuangalia wewe pia.Ndugu yetu ni ya kweli haya?? Tunaomba wajuzi wa mambo, tunaamini mpo humu, tujuzeni ukweli wa hili. Au maafisa walioko ktk entrance point hizo ndio hawajatambua tafsiri ya maelekezo/Sheria husika?
Pesa na madaraka havijawahi kuisha utamNa inaonekana huyu Mama anataka Urais tena
Acha kupotosha kijana,acha kupotosha,acha kupotosha,acha kupotosha kijana.Hujaiona nilichoandika,Soma upya urudi kucomment acha kurukia treni kwa mbele
Ha ni ya kweli, angalia consines yangu,kwann wakatae Nida no?Inawezekana ikawa kweli wamemfanyia hivyo kwa sababu za msingi, maadui wanaweza kupitia bandarini au wanted pia anaweza pitia bandarini, ID card ina picha, getini upita kwa kuangaliwa picha iliopo kwenye ID card yako na kukuangalia wewe pia.
Na kabla ujafika sehemu ya kupumzika kabla ya kuingia kwenye meli / boti pia wanaitaji ticket yako pamoja na kitambulisho ili kuoanisha majina ya kwenye ticket yako na kitambulisho chako sambamba na picha iliopo kwenye ID card na sura yako halisi.
Katiba pendekezwa iliondolewa kinyemela na wanasiasa kwa sababu maoni ya wananchi yalilenga kudhibiti na kuziba mianya ya ujanja ujanja wa wanasiasa...Kwani katiba pendekezi ilikuwa ina semaje
Wewe umesema unapita kwa Id yoyote ,kwani mie Kuna mahala nimepinga?Acha kupotosha kijana,acha kupotosha,acha kupotosha,acha kupotosha kijana.
Hawawezi kutambua barua hiyo wakati wanachotaka barua ya serikali ya mtaa kuthibitisha utambulisho wako,serikali ya mtaa ndio kianzio Cha utambulisho kokote tanzania. Kupeleka barua ya mahakama tayari ushatia mashaka na utambulisho wakoWewe umesema unapita kwa Id yoyote ,kwani mie Kuna mahala nimepinga?
My consine is ,Nina Barua ya Kisutu ,nikapita nimefika zanzbar wanataka Nida,hawatambui Barua ya mahakama Kuu. Kwann?
Mtu wa getini anaangalia kitambulisho moja kwa moja ili afananishe picha yako iliopo kwenye kitambulisho chako sambamba na jina lako ili kuoanisha jina lako liloandikwa kwenye ticket, na hii sio getini tu hadi pale sehemu ya kuingilia sehemu ya kupumzika kabla ya kuingia kwenye meli au boti wanaviitaji hivyo vitu, kila mmoja akiwa anatembea na namba ya NIDA unafikiri muda utatosha kwa sehemu kama hizo.My question is,
Kwani wakatae namba ya NIDA ambyo Ina information zangu zote?
Mahakama inatoa utambulisho kwa mtu yoyote mkazi wa Tz ushawahi sikia Cheti Cha kuzaliwa kinatolewa kwa mwenyekiti wa mtaa?Hawawezi kutambua barua hiyo wakati wanachotaka barua ya serikali ya mtaa kuthibitisha utambulisho wako,serikali ya mtaa ndio kianzio Cha utambulisho kokote tanzania. Kupeleka barua ya mahakama tayari ushatia mashaka na utambulisho wako
Kama unatemba na IDs zako hutopata usumbufu,Mbona mimi sijawahi kukutana na jambo hilo na nimekwenda zaidi ya mara 20
Kiukweli kabisa hii mimi ndo nimeisikia leo kwako, labda kwa sababu ya aina ya usafikiri ninaotumia mara zote ninapoenda huko ni tofautiKama unatemba na IDs zako hutopata usumbufu,
Je, umewahi kuona mtu aliesoma kuania f1 mpaka chuo kikuu hajawahi feli,
Na ukakutana na mtu aliefika chuo kwa kuunga unga?
Siku zote alieenda direct atahisi maisha ndivyo yalivyo nakufananisha na Hilo kundi