Leo nimethibitisha TFF inaendeshwa na Simba

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.

Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.

Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3 lakini limeamliwa kwenye round ya nne.

Kwani walikuwa wanahara kushindwa kukaa round ya 3 na kuchukua maamuzi.

Jana ligi imesimamishwa mechi ya round 5 na kusogezwa mwezi 11 kutoka mwezi huu kwani walikuwa wanahara kushindwa kujua ratiba za fifa.

Kwanini game 3 zilizopita za Yanga na Simba zimechezwa ndani ya siku 7 iliwezekana vipi?

Mechi ya Yanga na Ihefu imesogezwa mbele Ili Morrison akose gemu ya Simba October.

Kiukweli leo ndio nimeelewa TFF ni tawi la simba ila niwape tu angalizo Yanga itabeba ubingwa wa Tanzania mpaka 2032.
 
Wenye akili huko utopolo ni wawili tu
Tulitarajia upumbavu kama huu na kuna wenzio wengi acha wafike kwa Dada zao na shemeji yao mume wa dada yao awa hotspot
 
Nendeni CAS tumechoka na mayowe yenu kila leo kama mbwakoko. Mnatia aibu sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwenye suala la inonga, kamati haiwezi kutolea maamuzi jambo ambalo refa katoa adhabu, kamati inahusika na jambo ambalo limetokea na adhabu haikutolewa ndani ya uwanja.
Tumeshawazoea na hizi sababu zenu zisizo na mashiko. Dickson Job, Juma Shaban, na sasa Bernard Morrison wakifanya makosa ya utovu wa kinidhamu; wanafungiwa! Ila makosa ya aina hiyo hiyo wakicheza wachezaji wa simba na Coastal Union, mnakuja na sababu za aina hii.

Uzuri ni suala tu la muda. Huyo Msomali wenu hatakiwa rais wa maisha pale TFF. Muda wake ukifika, ataondoka kwa aibu! Na Shirikisho litarudi mikononi mwa wenye mpira wao.
 
Pambana na hali yako!
 
Alivyokuwa malinzi anafanya umafia kwa simba mlikaa kimya sasa hivi zamu yenu wahenga wanasema kutesa kwa zamu.
 
Kwenye suala la inonga, kamati haiwezi kutolea maamuzi jambo ambalo refa katoa adhabu, kamati inahusika na jambo ambalo limetokea na adhabu haikutolewa ndani ya uwanja.
Waambie hao matahira kutwa kulia lia kama vifaranga vya kuku pumbavu mpira sheria hawazijui wanatujazia nyuzi za kiwaki tu humu.
 
Na bado hamjalia bado mambo yanaenda kisomi na kiweledi hadi akili ziwakae vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…