technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3 lakini limeamliwa kwenye round ya nne.
Kwani walikuwa wanahara kushindwa kukaa round ya 3 na kuchukua maamuzi.
Jana ligi imesimamishwa mechi ya round 5 na kusogezwa mwezi 11 kutoka mwezi huu kwani walikuwa wanahara kushindwa kujua ratiba za fifa.
Kwanini game 3 zilizopita za Yanga na Simba zimechezwa ndani ya siku 7 iliwezekana vipi?
Mechi ya Yanga na Ihefu imesogezwa mbele Ili Morrison akose gemu ya Simba October.
Kiukweli leo ndio nimeelewa TFF ni tawi la simba ila niwape tu angalizo Yanga itabeba ubingwa wa Tanzania mpaka 2032.