Leo nimethibitisha TFF inaendeshwa na Simba

Hawa Tifuatifua wa Karai hao ni shida kweli kweli.
 
Dua la kuku
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Tukubali au tukatae licha ya kazi nzuri ambazo TFF wanafanya Kwa ajili ya kukuza soka letu bado kuna baadhi ya changamoto ambazo wanatakiwa kuzifanyia kazi hiyo ikiwa ni moja wapo

Kamati kuitwa ya masaa 72 means mechi inapoisha baada ya masaa 72 inabidi iwe ishatolewa ufafanuzi na hiyo kamati. Ikitokea kamati imechelewa inabidi itoe taarifa Kwa Umma mapema iwezekanavyo.

Watu kama GSM, Billionea Mo na wengine wamewekeza pesa nyingi kwenye mpira hivyo TFF hatutakiwi kufanya kazi Kwa mazoea na mihemko bali Kwa weredi tena wa hali ya juu ili soka letu lizidi kukua.

Tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia kama wajumbe wanaishi mbali mbali wanaweza tumia Video Conference ikawasaidia kufanya maamuzi.

NB:
Sisapoti utovu wa nidhamu kwenye michezo, wachezaji wanatakiwa kulindana wenyewe Kwa wenyewe kwani afya yao ndo mtaji wao.

Dangerous play ya namna yoyote Ile inabidi iadhibiwe vikali yellow card or redcard haitoshi sababu inahatarisha hata uhai wa mchezaji mwingine( Inonga v Sure boy)

Kama yellow tu inatosha kama baadhi ya watu wanavyotetea tukio la Inonga, kumbuka hii itafanya wachezaji wengine nao kufanya wakiamini kuwa wataadhibiwa tu Kwa yellow card basi, matokeo yake tunaharibu soka letu kuwa la vuruga na mwisho wa siku tunaweza kupata tukio baya zaidi ndani ya uwanja( mwenye macho na aone)
 
Kamà ilivyokuwa Kwa malinzi,mbio za vijiti kudadadek.....mtanyooka
 
Hii makala uloandika hapa ungemuandikia karia.
 
Hilo lipo wazi lakinimungu yupo nasi,tuna Tk Master ataziba gape

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…