Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba
Kwani uliwadanganya kuwa ulisoma hadi chuo?Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba.
Siku ziliendelea na wote waliamini Mimi ni msomi.
Sasa siku ya Jana nimekaa eneo langu la kazi akaja jamaa mmoja kumsalimia rafiki yake ambaye ni jiran yangu katka eneo la kazi tukaanza kupiga story jamaa akaanza kuniuliza kiwango changu Cha elimu Mimi nikamwambia kuwa nilifeli kidato Cha nne kwa kupata daraja la nne la alama 28 jamaa alishangaa sana akaanza kunishauri jinsi ya kuendelea na masomo kwa kutumia hyo elimu na Mimi nikawa namsikiliza tu
Sasa jamaa kumbe alivyotoka kwangu akaenda kuwaelezea majirani zangu kuhusu nilivyofeli kidato Cha nne
Sasa Leo asubuhi nafika kazini nashangaa majiran wananicheka si ndo wakaanza kufunguka wakisema "tulijua wewe ni msomi kumbe ni Form Four failure"
Na wote wanahangua vicheko na maneno ya kejeli wakinirushia Mimi nikanyamaza kimya wakaongea Hadi walipotosheka wakanyamaza.
Sasa hali hii ikanipa kutafakari kuwa kumbe watanzania wanafurahi wakikuona unateseka na wote mkiwa kwenye same level of thinking na hii imenifunza kuficha uhalisia wangu kwa watu wasionijua .
Hata Mimi nimewaza hivyo mkuu.Inaonekana huyo jamaa aliambiwa kuwa wewe ni msomi kwahiyo akaja kuthibitisha kwa njia hiyo sasa ulivyosema umeishia form 4 ikabidi arudi alipohadithiwa
Ila kiukweli inasikitisha sana
Cc@mbaga jr
Ukiwa na elimu na pesa halafu ukawa huna mwonekano mzuri pia watakucheka.Tafuta pesa wanakucheka kwa kigezo cha elimu tu ,pia ungepata hata one ya 3 wangekucheka pia kama hauna pesa na ndivyo wabongo tulivyo.🤔
Hawakukushauri uende VETA!Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba.
Siku ziliendelea na wote waliamini Mimi ni msomi.
Sasa siku ya Jana nimekaa eneo langu la kazi akaja jamaa mmoja kumsalimia rafiki yake ambaye ni jiran yangu katka eneo la kazi tukaanza kupiga story jamaa akaanza kuniuliza kiwango changu Cha elimu Mimi nikamwambia kuwa nilifeli kidato Cha nne kwa kupata daraja la nne la alama 28 jamaa alishangaa sana akaanza kunishauri jinsi ya kuendelea na masomo kwa kutumia hyo elimu na Mimi nikawa namsikiliza tu
Sasa jamaa kumbe alivyotoka kwangu akaenda kuwaelezea majirani zangu kuhusu nilivyofeli kidato Cha nne
Sasa Leo asubuhi nafika kazini nashangaa majiran wananicheka si ndo wakaanza kufunguka wakisema "tulijua wewe ni msomi kumbe ni Form Four failure"
Na wote wanahangua vicheko na maneno ya kejeli wakinirushia Mimi nikanyamaza kimya wakaongea Hadi walipotosheka wakanyamaza.
Sasa hali hii ikanipa kutafakari kuwa kumbe watanzania wanafurahi wakikuona unateseka na wote mkiwa kwenye same level of thinking na hii imenifunza kuficha uhalisia wangu kwa watu wasionijua .
Mwanzon wenyeji wangu niliwaeleza ukweli tu lkn hyu wa Jana ndo nikaamua kumficha na kumweleza uongoKwani uliwadanganya kuwa ulisoma hadi chuo?
Umechelewa kujua yaani tunafurahi ukiwa chiniMiezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba.
Siku ziliendelea na wote waliamini Mimi ni msomi.
Sasa siku ya Jana nimekaa eneo langu la kazi akaja jamaa mmoja kumsalimia rafiki yake ambaye ni jiran yangu katka eneo la kazi tukaanza kupiga story jamaa akaanza kuniuliza kiwango changu Cha elimu Mimi nikamwambia kuwa nilifeli kidato Cha nne kwa kupata daraja la nne la alama 28 jamaa alishangaa sana akaanza kunishauri jinsi ya kuendelea na masomo kwa kutumia hyo elimu na Mimi nikawa namsikiliza tu
Sasa jamaa kumbe alivyotoka kwangu akaenda kuwaelezea majirani zangu kuhusu nilivyofeli kidato Cha nne
Sasa Leo asubuhi nafika kazini nashangaa majiran wananicheka si ndo wakaanza kufunguka wakisema "tulijua wewe ni msomi kumbe ni Form Four failure"
Na wote wanahangua vicheko na maneno ya kejeli wakinirushia Mimi nikanyamaza kimya wakaongea Hadi walipotosheka wakanyamaza.
Sasa hali hii ikanipa kutafakari kuwa kumbe watanzania wanafurahi wakikuona unateseka na wote mkiwa kwenye same level of thinking na hii imenifunza kuficha uhalisia wangu kwa watu wasionijua .
Raha ya binadamu wengi ni kuona uko chini.Mwanzon wenyeji wangu niliwaeleza ukweli tu lkn hyu wa Jana ndo nikaamua kumficha na kumweleza uongo
Bila kuonja mbege huwezi kupata idea kama hiziHata Mimi nimewaza hivyo mkuu.
Akaona huyu ni,F,F,F,FF=Fools Form Four, Fighting For Food For Four years!Hata Mimi nimewaza hivyo mkuu.
Usipokunywa mbege unaamini Kila mtu anakupenda, ukiywa unasanuka.Bila kuonja mbege huwezi kupata idea kama hizi
Tuenjoy unywaji 🤩
Unakuwa na jicho fulani hivi la kuspy lipi ni lipi
Madhara ya uongo ndio Hayo Sasa!Mwanzon wenyeji wangu niliwaeleza ukweli tu lkn hyu wa Jana ndo nikaamua kumficha na kumweleza uongo
Mimi nilishawahi kufaulu mtihani wa muhula wa kwanza nikiwa darasa la sita nikatengwa na marafiki eti wanasema najiona sana.Akaona huyu ni,F,F,F,FF=Fools Form Four, Fighting For Food For Four years!