Leo nimethibitisha unafiki wa Watanzania Pasina Shaka

Ni wapi huko wanakocheka aliyefail form four, kwani form four kitu gani sikuizi tena hii ya elimu bure. Washamba tu hao
 
Wabandikie copy ya cheti cha degree kwenye mlango
 
Unaonekana hujiamini kabisa na pia unakaa uswazie tena tandale hama hapo acha kuwa cheap
 
Wewe ulikuwa haulijui hilo?
 
Hapa nilipo Kuna mmoja nimemwambia nimeishia fom four, mwingne nilifeli, mwingne chuo, mwingne mm memkwa, sasa siku moja wanabishana wao kwa wao duuh hawana jibu mpaka sasa πŸ˜‚
Me naamini aliyesema memkwa alishindaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wabandikie copy ya cheti cha degree kwenye mlango
Hapo ndio atazidi kusimangwa,awaache tu ivyoivyo na uelewa wao,ila hapo ulivyowadanganya mie nimependa,kwani ungewaambia elimu ya chuo uliyofikia bado wangekucheka tu kwa kazi unayoifanya,sasa hapo ulivyowadanganya ndio sehemu ya kujiweka vizuri kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…