Leo nimethibitisha unafiki wa Watanzania Pasina Shaka

Wanasema yajayo yanafurahisha ila ukinywa mbege unafurahi kabla wakati unaokuja haujafika
Mbege inakufanya ujaribu mambo mapya kwa mfano miaka kadhaa iliyopita nilishatembea kwa miguu minne kwa umbali wa zaidi ya kilomita moja.
 
Kwa Wabongo, acha waugundue ukweli wao wenyewe; na ujue kwamba kwa vyo vyote vile itakavyokuwa ni lazima utachekwa tu.

 
Sasa na wewe ulisoma nini ikiwa mteja anakuja eneo lako la kazi na kuanza kuongea nae masuala binafsi....
 
Hapa nilipo Kuna mmoja nimemwambia nimeishia fom four, mwingne nilifeli, mwingne chuo, mwingne mm memkwa, sasa siku moja wanabishana wao kwa wao duuh hawana jibu mpaka sasa πŸ˜‚
Watu mtaani ukiwaambia umesoma halafu ukafeli maisha wanafurahi San.
 
I
inatokeaje mpaka watu wanaku lushia maneno kisa hicho sema umezoeana nawo sana ndio tatzo hilo
 
Halafu ni ulimbukeni kulinganisha moja kwa moja usomi na madarasa.

Hali hii hutokea sana kwa nchi masikini ambazo kupata wasomi wa hayo madarasa bado ni tatizo.

Sehemu nyingine wasomi wanapimwa kwa mawazo yao na kazi zao.
 

Watanzania wamejifunza roho mbaya kwa sababu ustaarabu na upendo kwenye jamii unajengwa kama dira na falsafa ya jamii katika Taifa . Wakenya wameonyesha jinsi tulivyo na roho mbaya .


Watu wanampenda mtu kwa sababu ya kupata kitu kwako lakini sio vinginevyo .

Tumeangalia clip moja kule Pemba watu wanaandamana wanapinga ujenzi wa Kanisa . Yaani nyumba ya ibada inakataliwa lakini yanajengwa mahoteli ya wazungu na waarabu kuja kustarehe na kufanya vitendo vya kipuuzi kama ulawiti ,ushoga na usagaji na ulevi wa bangi ,madawa na ulafi mwingi na kukaa uchi ufukweni . Hao wanaonekana ni wa maana kuliko Kanisa linalodhibiti upendo ,haki ,kuacha dhambi na kuishi kwa haki na kumcha Mungu kama Manabii akiwemo Kristo Yesu Masihi . Nikaona ni Wazi watanzania wana roho Mbaya na wanaonekana imejijenga sana . Ndani ya inayoitwa nchi moja lakini kuna eneo moja watu hawaruhusiwi hata kujenga wala kuhamia na Kuwa wakazi wala kupiga kura wala kufanya ibada .

Yaani ni bora Wakenya wana utu kuliko Watanzania .
Serikali imeendeleza ufisadi na madaraka huku wakiwa jenga watu Kuwa pesa ndio kitu cha kwanza . Matokeo yake mpaka 2030 watu watatolewa mpaka figo kwa nguvu na kuuzwa ili watu watajirike . Wenye pesa na madaraka ndio kila kitu kwa sasa .

Kwa hiyo usishangae kuona watu wana roho mbaya .
Gwajima ameiomba serikali kuweka mfumo mzuri wa kisheria wa kudhibiti vitendo vya utekaji na kuhakikisha kila mtu anakua salama na sio kupotea lakini cha ajabu ameshambuliwa na kukaripiwa kwa nguvu zote kuliko hata hao wauaji .
Hii ni roho mbaya sana . Wakenya walikuja kusikiliza tu kesi ya Lisu lakini walipigwa sana na akatokea Mzanzibari akasema walitakiwa warushwe wakiwa maiti au wanapuumulia gesi . Yaani WanaCCM wanahamasisha chuki dhidi ya Wakenya amabao Mtanzania akiwa Kenya anaweza kuishi na kujenga kanisa ,nyumba ,msikiti na biashara zako bila kubughudhiwa kama wanavyobunghudhiwa Watanganyika kule Zanzibar .
Yote ni roho mbaya sana halafu cha ajabu watanzania wanaongoza kwa Kuwa na nyumba nyingi za ibada . Misikiti na Makanisa kila kona na vipaza sauti juu lakini watu wana roho mbaya kuliko wanyama .
 
Sasa na wewe ulisoma nini ikiwa mteja anakuja eneo lako la kazi na kuanza kuongea nae masuala binafsi....
Rudia andiko yule niliyeongea nae hakuwa mteja Bali ni rafiki wa jiran yangu mahala pa kazi huwa muda mrf anakuja pale kazini kwa ajiri ya kumsalimia hyo jiran yangu
 
Halafu ni ulimbukeni kulinganisha moja kwa moja usomi na madarasa.

Hali hii hutokea sana kwa nchi masikini ambazo kupata wasomi wa hayo madarasa bado ni tatizo.

Sehemu nyingine wasomi wanapimwa kwa mawazo yao na kazi zao.
Fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…