Leo nimetimiza kabila la 125 kuligegeda hapa Tanzania.

Leo nimetimiza kabila la 125 kuligegeda hapa Tanzania.

Ndio mambo ya diversity hayo Mkuu, Ni vyema sana diversity iwe embraced Kwasababu ndio inatupa uimara hatupaswi kufanana kabisa na Wala hakuna faida au hasara za mambo Collectively ni Kila mtu na Perception yake tu.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi
 
Ndio mambo ya diversity hayo Mkuu, Ni vyema sana diversity iwe embraced Kwasababu ndio inatupa uimara hatupaswi kufanana kabisa na Wala hakuna faida au hasara za mambo Collectively ni Kila mtu na Perception yake tu.
Na utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu..!! IImajiniiii enzi za JPM, ukiamrishwa naye unatii, ukiitwa naye unatii, embu fikiria wote muwe na madaraka sawa, akitoa amri na wewe unatoa. Pangekalika??? Utamu upo kwenye huyu yupo hivi, yule yupo vile..!!!
 
Maku zao hajizaunga ulozi afsa ? Maana nasikia hao watu ni wazee wa mti mti
Perceptions kama hizi ndiyo zinawapa credits za kuzidi kuogopwa na unakuta hawaliwi hovyo, nimewahi kuishi Swax, aka Sumbawanga na kudate na mdada mfipa kweli kule hata bikra unazipata ukizitafuta, sema wanakulana wao kwa wao si wageni mnawaogopa, ila nme date nao wako poa na adabu sana na wanapenda wageni kinoma...

NB; Sumbawanga hamna wachawi ni stories za miaka mingi kweli walikuepo ila nowdays wako civilized labda uende ndichi sana huko ndani ndani ndo wapo ambapo ni kila sehemu (kabila) uchawi upo hasa kwa watu wa hali ya chini vijijini huko...
 
Lissu ndio anawapigania watu wa sampuli hii, nashauri akitoka selo aende zake ubelgiji akale bata na familia yake
 
Je! Kabila la wanawake wa wakamba. waishio machatu, mbili, ndogomi, leshata. Nao umewadinya?
 
Mindiokwanza nipo la 20 changamoto ninayokutana nayo ni nature ya kazi ndioinanifanya niwe slow
 
Back
Top Bottom