kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Asante sana mkuu kwa ufafanuziNdio mambo ya diversity hayo Mkuu, Ni vyema sana diversity iwe embraced Kwasababu ndio inatupa uimara hatupaswi kufanana kabisa na Wala hakuna faida au hasara za mambo Collectively ni Kila mtu na Perception yake tu.
Na utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu..!! IImajiniiii enzi za JPM, ukiamrishwa naye unatii, ukiitwa naye unatii, embu fikiria wote muwe na madaraka sawa, akitoa amri na wewe unatoa. Pangekalika??? Utamu upo kwenye huyu yupo hivi, yule yupo vile..!!!Ndio mambo ya diversity hayo Mkuu, Ni vyema sana diversity iwe embraced Kwasababu ndio inatupa uimara hatupaswi kufanana kabisa na Wala hakuna faida au hasara za mambo Collectively ni Kila mtu na Perception yake tu.
Perceptions kama hizi ndiyo zinawapa credits za kuzidi kuogopwa na unakuta hawaliwi hovyo, nimewahi kuishi Swax, aka Sumbawanga na kudate na mdada mfipa kweli kule hata bikra unazipata ukizitafuta, sema wanakulana wao kwa wao si wageni mnawaogopa, ila nme date nao wako poa na adabu sana na wanapenda wageni kinoma...Maku zao hajizaunga ulozi afsa ? Maana nasikia hao watu ni wazee wa mti mti
HahahaaaUsikute anawauliza majina. We mtu anaitwa To yeye Mwakalindile, si unajuwa tu huyu mnyakyusa. Au hata Bantu Lady Massawe, unajuwa tu huyu mchaga, au hata Amehlo Shetani unajuwa tu hii Tanga moko hii kwa akina Shelukindo..!!
Kivipi mkuu? Na lipi kabila kidogo lenye ahueni?Wafipa tenaa mkuu ,unapotea kama unataka kuoa mfipa labda uwe na moyo mgumu
Kama unataka kufika mbali kimaendeleo chukua mkinga,mchaga hao ni kipaumbele labda kama unataka wenye ufundi kitandaniKivipi mkuu? Na lipi kabila kidogo lenye ahueni?