PostGE2025 Leo nimetonyeshwa kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona, Moyo wangu unavuja damu

PostGE2025 Leo nimetonyeshwa kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona, Moyo wangu unavuja damu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana.

Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa nimeanza kuyasahau

 
Pole sana mkuu
Mungu atalipa kisasi Kwa uaminifu
 
Back
Top Bottom