Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Wa mama wanaupendo sana..hata kama tunawakosea lakin upendo wao haupungui❀️❀️
Mungu azidi kuwatunza wazazi wetu
 
Kwa vifinyo vilee lazima...lakin siwezi kukuonyesha mkuu

Looh..ndio nilikuwa nafuta futa lens za miwani hapa ili nione..πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila vile vifinyo na maonyo ndio vilitutengeneza na kutuweka katika mstari. Hawa chipukizi wa saiv bure kabisa...
 
Basi kuna siku tulitoka na mama alikwenda kwa shoga ake.πŸ˜…πŸ˜…hamadi tukakuta chakula 😊😊
Tukakaribishwa chakula mama akakataa ikaja zamu yangu kukaribishwaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈMama alinikata jicho takatifu nikahisi kizungu zunguπŸ˜„πŸ˜„
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] jicho la big NO
 
Umemkumbuka mama leo inabidi umpe haki yake.
Kama sio kukufinya kule ungeweza kuwa mwizi supermarket ukapondwa na walimwengu.

Kama hujamtumia chochote kwa siku za karibuni...wajibika.
 
Looh..ndio nilikuwa nafuta futa lens za miwani hapa ili nione..πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila vile vifinyo na maonyo ndio vilitutengeneza na kutuweka katika mstari. Hawa chipukizi wa saiv bure kabisa...

🀣🀣🀣🀣imekula kwako mkuuπŸ˜…πŸ˜…ifute tu ukaiweke ndani

Kabisa nakubaliana na wewe mkuu.

Kuna siku nilienda kwa shangazi yangu bila kuaga na sio mbali sana na nyumbani na ilikuwa ni saa kumi na nusu Jion,baba karudi yuko vyombo kaniulizia akajibiwa sipo!akanifuata huko huko kwa dadake..πŸ˜…πŸ˜…jamani jamani

πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ Aise!!!hakuna siku nilipigika kama ile siku kwenye maisha yangu.hapa sasa hatumzunguzii mwenye vifinyo vyake...naomba nielewekeπŸ˜…πŸ˜…hapa namzungumzia baba sasa..cha!! kipondo chake sitakuja kukisahau mpaka naingia kaburiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nakumbuka sikucheza mpira kama wiki hivi..πŸ˜…πŸ˜…

Nawashukur kwa kunishikisha adabuπŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] jicho la big NO

Wazazi wetu walitufundisha kuzungumza kwa ishara kama mabubuπŸ˜…πŸ˜…
 
Baba hapigagi sana ila uwe na kosa mama anakwambia ngoja baba yako aje sjui utamwambiaje #mama anasisitiza tena umwambie mwenyew[emoji28]
 
Umemkumbuka mama leo inabidi umpe haki yake.
Kama sio kukufinya kule ungeweza kuwa mwizi supermarket ukapondwa na walimwengu.

Kama hujamtumia chochote kwa siku za karibuni...wajibika.

Kwanza hapa ninampigia simu yake haipatikani..sijui kauzia wapi simu nae.

Nimemkumbuka Na vifinyo vyake😊😊
 
Baba hapigagi sana ila uwe na kosa mama anakwambia ngoja baba yako aje sjui utamwambiaje #mama anasisitiza tena umwambie mwenyew[emoji28]

Kabisa aise..

Miaka inaende kasi sana..siamini kama leo hii naweza kupiga story na baba kama mashkaji wangu..

Au sijui kwa kuwa mtoto wa kike rafiki yake ni baba..

Baba angu ni mshkaji wangu na analijua hilo.nanunua pombe tunalewa pamoja basi burudani kabisa..ohooo πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ’—πŸ’—πŸ’—
 
Dah..sawa...

Ila pia mimi nilichezea kichapo cha mbwa koko sana tuu. Hadi nikikumbuka saivi navyowachezea sharabu navyotaka wale wazee nabaki nacheka tu. Bila kile kichapo sijui ningekuwa wapi saiv.
 
Dah..sawa...

Ila pia mimi nilichezea kichapo cha mbwa koko sana tuu. Hadi nikikumbuka saivi navyowachezea sharabu navyotaka wale wazee nabaki nacheka tu. Bila kile kichapo sijui ningekuwa wapi saiv.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Tuzidi kuwaombea wazazi wetu jaman walijua kutufundisha adabu..

Ila kwa vipondo vile tukivileta sasa hivi unaweza kujikuta police ushazimisha mtuπŸ˜…πŸ˜…
 
Umenikumbusha siku moja ananifukuzia tunazunguka tu nyumba jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakupenda mama
 
Umenikumbusha siku moja ananifukuzia tunazunguka tu nyumba jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakupenda mama
πŸ˜…πŸ˜… vipi mkuu hakukushika ukala kipondo??
 
Kumbe ulikuwa mwizi tokea utotoni?
Nachukua tahadhari,ukitia nia tuu najua utaniibia kura.
πŸ˜‰ πŸ˜€
 
Kumbe ulikuwa mwizi tokea utotoni?
Nachukua tahadhari,ukitia nia tuu najua utaniibia kura.
πŸ˜‰ πŸ˜€
Piga mahesabu ya daftari moja dogo 2000’s enzi hizo lilikuwa linauzwa shilingi ngapi😊

Elewa nililazimisha kununua daftari siku hiyo.🀣

Natangaza nia mda si mrefu mkuu
 
umenikumbusha mbali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…