Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nakumbuka kuna siku kidogo nilale nje kisa nimekimbia adhabu nachungulia tu mama katoka jikoni kaingia sebuleni hana muda giza nalo hilo hadi wanakaribia kulala mfanyakazi wa mifugo kazunguka zunguka kaniita njaa imenishika[emoji38][emoji38] kaniita jikoni ugali umebakizwa sasa mama sijui alimwambia kamsake aje aleee au vipi [emoji23][emoji23] but mama respect kwake
Kwa vifinyo vilee lazima...lakin siwezi kukuonyesha mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] jicho la big NOBasi kuna siku tulitoka na mama alikwenda kwa shoga ake.[emoji28][emoji28]hamadi tukakuta chakula [emoji4][emoji4]
Tukakaribishwa chakula mama akakataa ikaja zamu yangu kukaribishwa[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mama alinikata jicho takatifu nikahisi kizungu zungu[emoji1][emoji1]
Umemkumbuka mama leo inabidi umpe haki yake.Basi kuna siku tulitoka na mama alikwenda kwa shoga ake.😅😅hamadi tukakuta chakula 😊😊
Tukakaribishwa chakula mama akakataa ikaja zamu yangu kukaribishwa🙆♀️🙆♀️🙆♀️Mama alinikata jicho takatifu nikahisi kizungu zungu😄😄
Looh..ndio nilikuwa nafuta futa lens za miwani hapa ili nione..😂😂
Ila vile vifinyo na maonyo ndio vilitutengeneza na kutuweka katika mstari. Hawa chipukizi wa saiv bure kabisa...
Baba hapigagi sana ila uwe na kosa mama anakwambia ngoja baba yako aje sjui utamwambiaje #mama anasisitiza tena umwambie mwenyew[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekula kwako mkuu[emoji28][emoji28]ifute tu ukaiweke ndani
Kabisa nakubaliana na wewe mkuu.
Kuna siku nilienda kwa shangazi yangu bila kuaga na sio mbali sana na nyumbani na ilikuwa ni saa kumi na nusu Jion,baba karudi yuko vyombo kaniulizia akajibiwa sipo!akanifuata huko huko kwa dadake..[emoji28][emoji28]jamani jamani
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Aise!!!hakuna siku nilipigika kama ile siku kwenye maisha yangu.hapa sasa hatumzunguzii mwenye vifinyo vyake...naomba nieleweke[emoji28][emoji28]hapa namzungumzia baba sasa..cha!! kipondo chake sitakuja kukisahau mpaka naingia kaburini[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka sikucheza mpira kama wiki hivi..[emoji28][emoji28]
Nawashukur kwa kunishikisha adabu[emoji28][emoji28]
Umemkumbuka mama leo inabidi umpe haki yake.
Kama sio kukufinya kule ungeweza kuwa mwizi supermarket ukapondwa na walimwengu.
Kama hujamtumia chochote kwa siku za karibuni...wajibika.
Baba hapigagi sana ila uwe na kosa mama anakwambia ngoja baba yako aje sjui utamwambiaje #mama anasisitiza tena umwambie mwenyew[emoji28]
🤣🤣🤣🤣imekula kwako mkuu😅😅ifute tu ukaiweke ndani
Kabisa nakubaliana na wewe mkuu.
Kuna siku nilienda kwa shangazi yangu bila kuaga na sio mbali sana na nyumbani na ilikuwa ni saa kumi na nusu Jion,baba karudi yuko vyombo kaniulizia akajibiwa sipo!akanifuata huko huko kwa dadake..😅😅jamani jamani
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Aise!!!hakuna siku nilipigika kama ile siku kwenye maisha yangu.hapa sasa hatumzunguzii mwenye vifinyo vyake...naomba nieleweke😅😅hapa namzungumzia baba sasa..cha!! kipondo chake sitakuja kukisahau mpaka naingia kaburini😂😂😂
Nakumbuka sikucheza mpira kama wiki hivi..😅😅
Nawashukur kwa kunishikisha adabu😅😅
😅😅😅😅😅Tuzidi kuwaombea wazazi wetu jaman walijua kutufundisha adabu..Dah..sawa...
Ila pia mimi nilichezea kichapo cha mbwa koko sana tuu. Hadi nikikumbuka saivi navyowachezea sharabu navyotaka wale wazee nabaki nacheka tu. Bila kile kichapo sijui ningekuwa wapi saiv.
Kumbe ulikuwa mwizi tokea utotoni?😅😅😅nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.
Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo😅😅niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo😔😔 nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji🤪🤪 si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari😆😆 mbona shughuli niliipata mimi jamani😂😂
Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha🤣🤣 nilifinywa mimi..😄😄😄mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu😅😅
Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.
Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.😅😂vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.😂😂
Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii😂😂😂
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
Piga mahesabu ya daftari moja dogo 2000’s enzi hizo lilikuwa linauzwa shilingi ngapi😊Kumbe ulikuwa mwizi tokea utotoni?
Nachukua tahadhari,ukitia nia tuu najua utaniibia kura.
😉 😀
umenikumbusha mbali 😂😂😂😅😅😅nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.
Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo😅😅niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo😔😔 nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji🤪🤪 si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari😆😆 mbona shughuli niliipata mimi jamani😂😂
Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha🤣🤣 nilifinywa mimi..😄😄😄mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu😅😅
Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.
Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.😅😂vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.😂😂
Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii😂😂😂
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
samahani mpira wa miguu huu huu? au unamaanisha mpira wa miguu ?Nakiri nilikuwa mtundu aiseh..
Na nilikuwa nacheza mpira wa miguu bhna eee yule mama ataita huyoo😅😅