The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Ukiona choo ndotoni usikitumieMzuqa wanajf,
Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
Umemchekesha sanaaaaa.bangi ni mbaya sana... haswa mchana..
Kwahyo baada ya kutoka ukawa unakimbia uje upost jfMzuqa wanajf,
Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
[emoji41]Mzuqa wanajf,

daladala au bus lamkoa????Mzuqa wanajf,