Leo nimewachekesha vibaya sana abiria kwenye basi

Leo nimewachekesha vibaya sana abiria kwenye basi

Mimi mwenyewe nimecheka na ujinga ulioandika hapa
 
Mzuqa wanajf,

Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
We mbusi umeanza uwaki zamani sana fara wewe. ephen_ umemuona The Stress Challengerr enzi hizo anajiita Jon Stephano
 
Back
Top Bottom