Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana
Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52]
Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo