Leo nimewakomesha mbu

Leo nimewakomesha mbu

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
714
Reaction score
1,193
Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana
Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52]
Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo
 
Ngoja tukufate kumbe umeenda sebleni[emoji3082][emoji3082][emoji3082][emoji3082]
 
Sasa hiv kidoooogo tena kwa mbaliiiiii mabaharia wa meli hii wanarejea,hapo kati meli yetu ilivamiwa na wasomaliland kucheka ikawa haba
 
Back
Top Bottom