Mwanakulipata JF-Expert Member Joined Jul 17, 2018 Posts 714 Reaction score 1,193 Apr 27, 2021 #1 Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52] Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo
Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52] Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo
Boiker JF-Expert Member Joined Oct 26, 2015 Posts 349 Reaction score 465 Apr 27, 2021 #2 Ngoja tukufate kumbe umeenda sebleni[emoji3082][emoji3082][emoji3082][emoji3082]
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,711 Reaction score 3,279 Apr 27, 2021 #3 Boiker said: Ngoja tukufate kumbe umeenda sebleni[emoji3082][emoji3082][emoji3082][emoji3082] Click to expand... [emoji3]
Boiker said: Ngoja tukufate kumbe umeenda sebleni[emoji3082][emoji3082][emoji3082][emoji3082] Click to expand... [emoji3]
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Apr 28, 2021 #4 Sasa hiv kidoooogo tena kwa mbaliiiiii mabaharia wa meli hii wanarejea,hapo kati meli yetu ilivamiwa na wasomaliland kucheka ikawa haba
Sasa hiv kidoooogo tena kwa mbaliiiiii mabaharia wa meli hii wanarejea,hapo kati meli yetu ilivamiwa na wasomaliland kucheka ikawa haba