Leo nimewakumbuka wababe wa Angola, timu ya Recretivo do Libolo

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
764
Reaction score
1,892
Jana kulikuwa na mechi ya CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos.
Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo "mwisho wa siku" Petroleos walishinda (1-0) kwenye mtanange wa "kukata na shoka".
Kwa vyovyote vile, inaonekana soka la Angola kwa sasa linatawaliwa na "miamba" hii miwili, tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Nikaikumbuka timu "chuma cha pua" miaka michache iliyopita, naizungumzia Recretivo do Libolo-- najua kwa kulisikia tu jina hili baadhi ya mashabiki wa timu moja hivi(jina kapuni) wameshaanza " kujambajamba" kwa hofu.
Anyway tuendelee, hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani "wazee wa dozi heavy". Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.
Naimani "watajipanga upya" na kurudi kwenye ubora wao wanaostahili.
Je, wewe unaikumbukaje Recretivo do Libolo, wababe wa Angola?
..
.
 
Jana kulikuwa na mechi CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos. Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo Petroleos walishinda (1-0) kwenye mtanange wa kukata na shoka.

Kwa vyovyote vile, inaonekana soka la Angola kwa sasa linatawaliwa na "miamba" hii miwili. Nikaikumbuka timu chuma cha pua miaka michache iliyopita, naizungumzia Recretivo do Libolo,najua kwa kulisikia tu jina hili baadhi ya mashabiki wa timu moja hivi wameshaanza ["B] kujambajamba[/B]" kwa hofu.

Hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani wazee wa dozi heavy. Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.

Naimani "watajipanga upya" na kurudi kwenye ubora wao wanaostahili.
..
.
Wenzako walijifunza kutokana na kufungwa.Na imetumia kurekebisha makosa kuendelea kudumu mashindanoni.Sasa,ile timu unayoipenda nasikia ipo juu kwenye uuzaji wa "blauzi"!😂😂😂😂😂
 
Anyway tuendelee, hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani "wazee wa dozi heavy". Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.

.
Raja Casablanca nayo inasuasua, ila Raja ile ya enzi hizo 1998 iliipiga Yanga goli 6-0. Katika michuano hiyo, Yanga ilijikuta ikifungwa jumla ya mabao 19 katika mechi 6 tu
 
Jana kulikuwa na mechi ya CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos.
Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo "mwisho wa siku" Petroleos walishinda (1-0) kwenye mtanange wa "kukata na shoka".
Kwa vyovyote vile, inaonekana soka la Angola kwa sasa linatawaliwa na "miamba" hii miwili, tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Nikaikumbuka timu "chuma cha pua" miaka michache iliyopita, naizungumzia Recretivo do Libolo-- najua kwa kulisikia tu jina hili baadhi ya mashabiki wa timu moja hivi(jina kapuni) wameshaanza " kujambajamba" kwa hofu.
Anyway tuendelee, hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani "wazee wa dozi heavy". Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.
Naimani "watajipanga upya" na kurudi kwenye ubora wao wanaostahili.
Je, wewe unaikumbukaje Recretivo do Libolo, wababe wa Angola?
..
.
Petro Atletico De Aviacao ya akina Lidenge unaikumbuka? Season ya 1992-1993 kombe la washindi Africa
 
Kuweka sawa rekodi, hawa akina Libengue (ila tulizoea kumuita Lidenge) ni kutoka timu inayoitwa Atletico Sportive Aviacao aka ASA, akina Lobilo, Abilio, Arlindo, Keleke, na golikipa asiyefungika kirahisi Kanka Vemba. Huyu golikipa hadi ASA inaingia nusu fainali alikuwa hajaruhusu goli hata moja, lakini akapigwa goli tatu na wababe wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Simba SC katika ushindi wa 3-1, huku vita kubwa ikiwa upande wa kulia kati ya winga machachari Libengue wa ASA na Kasongo Athumani wa Simba SC. Kwa kweli Simba imeanza mambo yake ya kimataifa zamani sana
 
Magoli ya
Chumila
Malota soma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jana kulikuwa na mechi ya CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos.
Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo "mwisho wa siku" Petroleos walishinda (1-0) kwenye mtanange wa "kukata na shoka".
Kwa vyovyote vile, inaonekana soka la Angola kwa sasa linatawaliwa na "miamba" hii miwili, tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Nikaikumbuka timu "chuma cha pua" miaka michache iliyopita, naizungumzia Recretivo do Libolo-- najua kwa kulisikia tu jina hili baadhi ya mashabiki wa timu moja hivi(jina kapuni) wameshaanza " kujambajamba" kwa hofu.
Anyway tuendelee, hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani "wazee wa dozi heavy". Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.
Naimani "watajipanga upya" na kurudi kwenye ubora wao wanaostahili.
Je, wewe unaikumbukaje Recretivo do Libolo, wababe wa Angola?
..
.
Hakika kumbukumbu huwa ni nzuri sana..
Nami nimekumbuka hii..
DxTQGSvXcAAuJSY.jpg

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Jana kulikuwa na mechi ya CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos.
Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo "mwisho wa siku" Petroleos walishinda (1-0) kwenye mtanange wa "kukata na shoka".
Kwa vyovyote vile, inaonekana soka la Angola kwa sasa linatawaliwa na "miamba" hii miwili, tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Nikaikumbuka timu "chuma cha pua" miaka michache iliyopita, naizungumzia Recretivo do Libolo-- najua kwa kulisikia tu jina hili baadhi ya mashabiki wa timu moja hivi(jina kapuni) wameshaanza " kujambajamba" kwa hofu.
Anyway tuendelee, hawa jamaa walikuwa wababe kweli kweli yaani "wazee wa dozi heavy". Kukupiga "goli nyingi kwako" ilikuwa ni "easy" kwao na hata hapa Tanzania walishawahi "kutia maguu" na kuacha simanzi ukijumlisha na majonzi makubwa.
Naimani "watajipanga upya" na kurudi kwenye ubora wao wanaostahili.
Je, wewe unaikumbukaje Recretivo do Libolo, wababe wa Angola?
..
.
Nawakumbuka sana hawa Libolo walitupiga ndani na nje.

Imebaki stori kwani ni zamu yetu kuwatandika
 
Back
Top Bottom