chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Oct 20, 2021 #1 Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari. * Simba na Yanga zimeshuka daraja na kuingia ndondo kapu. * Ugonjwa wa kisukari unaosumbua watu kumbe dawa yake ni chunvi. * Tanzania kuogopwa na mataifa makubwa kwa sababu ya chama kisicho toka madarakani kwa demokrasia. ni hayo tu
Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari. * Simba na Yanga zimeshuka daraja na kuingia ndondo kapu. * Ugonjwa wa kisukari unaosumbua watu kumbe dawa yake ni chunvi. * Tanzania kuogopwa na mataifa makubwa kwa sababu ya chama kisicho toka madarakani kwa demokrasia. ni hayo tu
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Oct 20, 2021 #2 Unapaswa upigiwe wimbo wa ..."We ndo mchizi waaaanguuuuu"...!Na uucheze hadi jasho "lianguke" toka mwilini mwako.
Unapaswa upigiwe wimbo wa ..."We ndo mchizi waaaanguuuuu"...!Na uucheze hadi jasho "lianguke" toka mwilini mwako.
P Peppapig JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 967 Reaction score 1,485 Oct 20, 2021 #3 Wakati unawaza utakua ulikua unasikiliza ule wimbo wa asikwambie mtu tutuu,bia tam,na wakati huohuo unashushia na bia yenyewe.
Wakati unawaza utakua ulikua unasikiliza ule wimbo wa asikwambie mtu tutuu,bia tam,na wakati huohuo unashushia na bia yenyewe.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Oct 20, 2021 #4 Moisemusajiografii said: ."We ndo mchizi waaaanguuuuu" Click to expand... Q The Don kitambo sana
Good Neighbour JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 942 Reaction score 897 Oct 20, 2021 #5 Hujawaza umekuwa Jay z mwanangu Bangi mbaya sana
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Oct 20, 2021 #6 Pole mkuu