Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #321
Endelea kulinda bahari[emoji23],bora mzigo ubebe wewe tu utatusimuliaga baadae yakikushinda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kule mie nishapambana nimepata nalilinda huba langu sasa hivi. Japo huba la wengi [emoji23][emoji23]
Shangaa asome uzi wangu pale chini unamuhusuAnakuletea hasira kama vile we ndo sababh ya yeye kuwa alivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kweli bahari. Sema tumekutana wote wezi acha tuibiane tu.Endelea kulinda bahari[emoji23],bora mzigo ubebe wewe tu utatusimuliaga baadae yakikushinda
Ana genye si bureShangaa asome uzi wangu pale chini unamuhusu
Kama mmekutana wote hivyo usijezidiwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kweli bahari. Sema tumekutana wote wezi acha tuibiane tu.
Aaah akale huko ashineAna genye si bure
Wee naanzaje. Halafu huyu tunazinguana tu wala hamna kitu serious ukiacha kuwekana dp na kuchat hamna kitu seriousKama mmekutana wote hivyo usijezidiwa tu
Kwa hiyo yule bwana unaempenda umemtema[emoji23][emoji6]
Umejuaje hakuna kitu serious?usiniteseee jamaa yangu kama umemshindwa nirudishie eboo mi nishagamzoea hivyo hivyoWee naanzaje. Halafu huyu tunazinguana tu wala hamna kitu serious ukiacha kuwekana dp na kuchat hamna kitu serious
Sijamshindwa na kumrudisha subiri August ntakuja kukukabidhi jamaa yako Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejuaje hakuna kitu serious?usiniteseee jamaa yangu kama umemshindwa nirudishie eboo mi nishagamzoea hivyo hivyo
Sawa we siku ukimchoka nirudishie tu ntampokea ila atanikuta nipo na msomali nae akubali kupangwa [emoji23]Sijamshindwa na kumrudisha subiri August ntakuja kukukabidhi jamaa yako Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimpange baby wetu bwana. Wewe si unajua ndo mwenyewe mimi na yule dada mwingine tunaiba. Hapo kwanza najua tuko watatu ukute kunao wengine kama kumi humu [emoji23]. Wewe najua unatujua woteSawa we siku ukimchoka nirudishie tu ntampokea ila atanikuta nipo na msomali nae akubali kupangwa [emoji23]
Msomali ananipa raha mno,nae apangwe tu kama anavyotupanga ,,ehehhehehe eti najua sijui miee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimpange baby wetu bwana. Wewe si unajua ndo mwenyewe mimi na yule dada mwingine tunaiba. Hapo kwanza najua tuko watatu ukute kunao wengine kama kumi humu [emoji23]. Wewe najua unatujua wote
Msomali ananipa raha mno,nae apangwe tu kama anavyotupanga ,,ehehhehehe eti najua sijui miee
[emoji2][emoji2][emoji2] basi apangweMsomali ananipa raha mno,nae apangwe tu kama anavyotupanga ,,ehehhehehe eti najua sijui miee
Narudii we mpaka tugawaneeeumenipotea gafla kumbe uko huko dear.
Narudii we mpaka tugawaneee
Hapo basi naomba colabo mpenziNarudii we mpaka tugawaneee
Ukisema uweke mategemeo pale imekula kwako[emoji2][emoji2][emoji2] basi apangwe
Sawaaa halaf naomba ufunge pm haraka naona washaanza omba colabohahaa usijali malizana kwanza na malimwengu, mimi niko nawe usiku kucha.