Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Umejuaje hakuna kitu serious?usiniteseee jamaa yangu kama umemshindwa nirudishie eboo mi nishagamzoea hivyo hivyo
Sijamshindwa na kumrudisha subiri August ntakuja kukukabidhi jamaa yako Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa we siku ukimchoka nirudishie tu ntampokea ila atanikuta nipo na msomali nae akubali kupangwa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimpange baby wetu bwana. Wewe si unajua ndo mwenyewe mimi na yule dada mwingine tunaiba. Hapo kwanza najua tuko watatu ukute kunao wengine kama kumi humu [emoji23]. Wewe najua unatujua wote
 
Msomali ananipa raha mno,nae apangwe tu kama anavyotupanga ,,ehehhehehe eti najua sijui miee
 
Back
Top Bottom