[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msomali sidhani. Ila siwezi jua lolote laweza tokea ujue. Wangu sasa ntampatia wapi
Umetuchokaje wakati sisi hatujakuchoka? Unataka kutuachia peke etu?Kwa Niaba ya wanawake wote JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lilia bahati mama
Nimewachoka na mzigua wako.
Tumemuachia hiyo kazi akishinda na Tuzo tunampa "Tuzo ya wanawake wa jf"Kwa Niaba ya wanawake wote JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lilia bahati mama
Nimewachoka na mzigua wako.
Kwahiyo na pm yangu hutanijibu tena?
Mkurya utaweza mama? Sema yule sigawi ntakupa hata sponsor wangu wa kichaga ila yule hapana.Nawe nigawie basi yule mwingine unaempenda kama kweli tunapendana
Kuna mwenzako analiaa tu huko alidhan akapata kumbee wapi missUmeona eeeh. Anankatisha tamaa kwenye penzi langu jipya [emoji23][emoji23]
Tuvumilie tuu.Nyie watu mi nabadili jina la id na sitako urafiki tena ,,sio watu wazurii kabisaa nyie
[emoji2][emoji2]Heheheeheh jamani jamani
Hata ukija na Id ya kiume mimi nakujua wewe mpaka kivuli chako.Nyie watu mi nabadili jina la id na sitako urafiki tena ,,sio watu wazurii kabisaa nyie
Tunababa hivyo hivyo wanaume wenyewe wachache.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikujibu nitag
Ni kubanana humo humo.
Ila wazigua shikamooni!
Aliekubana siku hizii,,tumekaribia kukublock kabisaa mpuuzi wewe,,ina maa boo ni tamu kuzidi sisi amaKuharibiana siku tu na wewe[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ndio nini sasa hiki umefanya!!!!
Hebu ngoja nimuangalie kwanza.
Ila Tanga mwisho wa matatizo muulize mshana kwa nini!Tumemuachia hiyo kazi akishinda na Tuzo tunampa "Tuzo ya wanawake wa jf"
Tuchoke tu sisi
Mi na wachaga mbali mbalii nataka mkuryaa nataka unipe roho yako inapotakaMkurya utaweza mama? Sema yule sigawi ntakupa hata sponsor wangu wa kichaga ila yule hapana.
Mimi nawakubali wazigua wamefundwa wakafundika!Tunababa hivyo hivyo wanaume wenyewe wachache.
Hiyo shikamoo vipiii dada?? [emoji2]
Lincoln keshaaha mashindano zamanii mi refa tu ndio nimebakiUmetuchokaje wakati sisi hatujakuchoka? Unataka kutuachia peke etu?
hahahahaaaTumemuachia hiyo kazi akishinda na Tuzo tunampa "Tuzo ya wanawake wa jf"
Tuchoke tu sisi
Sitaki hata two some ,mim na wewe tu daudi ntakublockyani unanitega shemeji, Ila kama unataka threesome ongea na mama Sabrina niko tayari, mie sio mchoyo.