Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Kuharibiana siku tu na wewe[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ndio nini sasa hiki umefanya!!!!
Hebu ngoja nimuangalie kwanza.
Aliekubana siku hizii,,tumekaribia kukublock kabisaa mpuuzi wewe,,ina maa boo ni tamu kuzidi sisi ama
Sasa nani kakuharibia siku mim au docta au roho inakuuma
 
Back
Top Bottom