Leo nina furaha sana usiku huu

Kwahiyo alijua ndo kaopoa bwana ivoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole yake maskini. Halafu sijui anampenda bado
Yaan nna hamu anifate pm jamani nipo nakufwaaa mbavuuu,si alikataa hajagegedwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tayari nyie watu wa dar wabayaaa
 
Mama shida zangu ndio zinanibana tu binadamu hawezi labda wanangu tu na hii mimba changa.

Sasa hii picha ndio unataka nijifungue kabla ya wakati ili niingie kwenye mtanange au!!!
Aaaahaa polee lea wana mama
Hii picha niachie mie we kuwa ndugu mtazamaji na msikilizaji au mpambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…