Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Ana nyota ya mkia kuufata mwili..

Kama kote huko kapita, malizia na hapo tu napo apite roho yake itulie.

Itakuwa unapita pazuri ndio maana hebu igiza kupita kwenye chaka la miiba tuone kama atathubutu kupita..

Wewe kama wenger unapoint wenzio wanakuja kuchukua.. [emoji23] [emoji23]
Makavel ntaomba usajili kwako nione kama atataka pia
 
Ndo zake eeeh. Sasa mie ndo naitwa siachiki. Akija tufanye hata mara moja sina shida kwanza tukigandana ntashindwa waaona waume zangu wengine. Sema game yake ndo stak kuikosa
Ulifurahia game yake [emoji23][emoji23][emoji23] kajitahidii asiniangushe
 
Back
Top Bottom